Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Diarra amdatisha hadi Shikhalo.

KIPA wa KMC, Mkenya Farouk Shikhalo ameweka wazi kuukubali mziki wa kipa mwenzake, Diarra Djigui anayecheza kikosi cha Yanga msimu huu.

Kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Diarra ndiye kipa aliyeruhusu mabao machache akifungwa manne tu, akifuatiwa na Aishi Manula wa Simba aliyetunguliwa sita (kabla ya mechi ya jana).

Akizungumza na Mwanaspoti, Shikhalo alisema Djigui ni kipa wa kisasa mwenye uwezo wa kutumia miguu na mikono kwenye uchezaji wake lakini pia kuanzisha mashambulizi.

“Diarra ni kipa mzuri sana kwa soka la sasa, naweza kusema hawakukosea kabisa kumsajili kwa sababu ni mbadala wangu mzuri kwao Yanga na viongozi walipatia,” alisema Shikhalo na kuongeza;

“Wakati naondoka Yanga licha ya kuwa na sintofahamu lakini nilipokea vizuri cha msingi ni kutakiana kheri kwa sababu mpira ni mchezo wa kuonana mara kwa mara.”

Kipa huyo baada ya kuondoka Yanga msimu amejiunga na KMC ambayo anawania namba na kipa mkongwe Juma Kaseja na yeye ameweka wazi yupo kwenye wakati mzuri akijifunza zaidi.

Shikhalo na Djigui wamepishana langoni msimu huu baada ya mmoja kuingia na mwingine kuondoka kwenda kucheza soka katika timu nyingine.

[QUOTE="Amir, post: 811, member: 20"] [HEADING=1]Diarra amdatisha hadi Shikhalo.[/HEADING] [IMG alt="DIARRA PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3709412/landscape_ratio16x9/1160/652/23e43a4f650572113455729067d99e50/oL/diarra-pic.jpg[/IMG] KIPA wa KMC, Mkenya Farouk Shikhalo ameweka wazi kuukubali mziki wa kipa mwenzake, Diarra Djigui anayecheza kikosi cha Yanga msimu huu. Kwa sasa katika Ligi Kuu Bara, Diarra ndiye kipa aliyeruhusu mabao machache akifungwa manne tu, akifuatiwa na Aishi Manula wa Simba aliyetunguliwa sita (kabla ya mechi ya jana). Akizungumza na Mwanaspoti, Shikhalo alisema Djigui ni kipa wa kisasa mwenye uwezo wa kutumia miguu na mikono kwenye uchezaji wake lakini pia kuanzisha mashambulizi. “Diarra ni kipa mzuri sana kwa soka la sasa, naweza kusema hawakukosea kabisa kumsajili kwa sababu ni mbadala wangu mzuri kwao Yanga na viongozi walipatia,” alisema Shikhalo na kuongeza; “Wakati naondoka Yanga licha ya kuwa na sintofahamu lakini nilipokea vizuri cha msingi ni kutakiana kheri kwa sababu mpira ni mchezo wa kuonana mara kwa mara.” Kipa huyo baada ya kuondoka Yanga msimu amejiunga na KMC ambayo anawania namba na kipa mkongwe Juma Kaseja na yeye ameweka wazi yupo kwenye wakati mzuri akijifunza zaidi. Shikhalo na Djigui wamepishana langoni msimu huu baada ya mmoja kuingia na mwingine kuondoka kwenda kucheza soka katika timu nyingine. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom