Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mayele Awatuliza Yanga, Aahidi Neema.

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye ndiye kinara wa utupiaji katika klabu hiyo akitupia sita,

amewaondoa presha mashabiki wa timu hiyo kwa kusema kuwa watulie kwani mambo mazuri yanakuja.

Hiyo imekuja mara baada ya Yanga kutoka suluhu dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliopita wa ligi na hivyo kupunguzwa pointi dhidi ya watani zao, Simba kutoka 10 hadi tano.

Akizungumza na Championi Jumatano, Mayele alisema kuwa, kupata suluhu katika mchezo uliopita isiwe sababu ya mashabiki kuona watashindwa kuyatimiza malengo yao msimu huu ambayo ni ubingwa na kuahidikuwa bado watapambana kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wanatimiza ahadi hiyo.

“Mashabiki wasiwe na wasiwasi na sisi kwani bado tupo katika mapambano ya kuhakikisha kuwa malengo yetu yatatimia msimu huu kuhakikisha kuwa tunatwaa ubingwa, hivyo wanatakiwa kutupa sapoti kila mara bila kuchoka ili tuendelee kusonga mbele.

'Michezo bado ni mingi sana kama ambavyo imeonekana na sisi kama wachezaji tunatakiwa kupambana bila kuchoka kwani kwenye nia pana njia siku zote na sisi tunayo nia kweli kuhakikisha kuwa mashabiki wanapata furaha ambayo wameikosa kwa muda mrefu,” alisema Mayele.

[QUOTE="Amir, post: 817, member: 20"] [HEADING=1]Mayele Awatuliza Yanga, Aahidi Neema.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yanga-3.jpg[/IMG] MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele, ambaye ndiye kinara wa utupiaji katika klabu hiyo akitupia sita, amewaondoa presha mashabiki wa timu hiyo kwa kusema kuwa watulie kwani mambo mazuri yanakuja. Hiyo imekuja mara baada ya Yanga kutoka suluhu dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliopita wa ligi na hivyo kupunguzwa pointi dhidi ya watani zao, Simba kutoka 10 hadi tano. Akizungumza na Championi Jumatano, Mayele alisema kuwa, kupata suluhu katika mchezo uliopita isiwe sababu ya mashabiki kuona watashindwa kuyatimiza malengo yao msimu huu ambayo ni ubingwa na kuahidikuwa bado watapambana kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wanatimiza ahadi hiyo. “Mashabiki wasiwe na wasiwasi na sisi kwani bado tupo katika mapambano ya kuhakikisha kuwa malengo yetu yatatimia msimu huu kuhakikisha kuwa tunatwaa ubingwa, hivyo wanatakiwa kutupa sapoti kila mara bila kuchoka ili tuendelee kusonga mbele. 'Michezo bado ni mingi sana kama ambavyo imeonekana na sisi kama wachezaji tunatakiwa kupambana bila kuchoka kwani kwenye nia pana njia siku zote na sisi tunayo nia kweli kuhakikisha kuwa mashabiki wanapata furaha ambayo wameikosa kwa muda mrefu,” alisema Mayele. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom