Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga Yaitengea Mtibwa Siku 15.

KIKOSI cha Yanga, kimeitengea Mtibwa Sugar siku 15 za kuhakikisha zinaibuka na ushindi katika

mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Februari 23, mwaka huu kwenye Uwanja wa Manungu,

Morogoro.

Yanga wametamba kuwamaliza Mtibwa wakiwa kwao huku wakiwa na kumbukumbu ya kuishuhudia Simba

ikitoka suluhu ilipokwenda kucheza huko hivi karibuni.

Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara hivi sasa, Yanga wanaongoza wakiwa na pointi 36, huku Mtibwa ikiwa na pointi 12 katika nafasi ya 14. zote zimecheza mechi 14.

Akizungumza na Championi Jumatano, Winga wa Yanga, Dickson Ambundo, amesema: “Maandalizi yetu

yapo vizuri kuelekea mchezo huo, tumepata muda wa kupumzika wa kutosha, sasa ni muda wa kujipanga kuwamaliza Mtibwa.

“Kwaupande wangu nimejipanga kupambana kwa hali ya juu ili kuweza kuisaidia timu yangu kupata matokeo

mazuri, ukiangalia tulipata matokeo ya sare kwa mchezo uliopita na mchezo huu tunataka matokeo ya ushindi.

[QUOTE="Amir, post: 825, member: 20"] [HEADING=1]Yanga Yaitengea Mtibwa Siku 15.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yanga-2.jpg[/IMG] KIKOSI cha Yanga, kimeitengea Mtibwa Sugar siku 15 za kuhakikisha zinaibuka na ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Februari 23, mwaka huu kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro. Yanga wametamba kuwamaliza Mtibwa wakiwa kwao huku wakiwa na kumbukumbu ya kuishuhudia Simba ikitoka suluhu ilipokwenda kucheza huko hivi karibuni. Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara hivi sasa, Yanga wanaongoza wakiwa na pointi 36, huku Mtibwa ikiwa na pointi 12 katika nafasi ya 14. zote zimecheza mechi 14. Akizungumza na Championi Jumatano, Winga wa Yanga, Dickson Ambundo, amesema: “Maandalizi yetu yapo vizuri kuelekea mchezo huo, tumepata muda wa kupumzika wa kutosha, sasa ni muda wa kujipanga kuwamaliza Mtibwa. “Kwaupande wangu nimejipanga kupambana kwa hali ya juu ili kuweza kuisaidia timu yangu kupata matokeo mazuri, ukiangalia tulipata matokeo ya sare kwa mchezo uliopita na mchezo huu tunataka matokeo ya ushindi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom