Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Atakiwa Kuwasilisha Ripoti Yanga.

HATIMAYE Uongozi waYanga, umelitaka benchi la ufundi la timu hiyo, linaloongozwa na kocha raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, kuwasilisha mara moja ripoti ya mpango kazi unaoainisha mambo watakayoyafanya takribani wiki mbili za mapumziko kabla mechi za Ligi Kuu Bara kurejea.

Yanga bado ni vinara wa ligi, wakiwa na jumla ya pointi 36, walizozipata baada ya kucheza mechi 14 na kuvuna ushindi katika mechi 11, huku wakitoka sare tatu.

TayariYanga ipo kambini ikiendelea kujinoa kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho laAzam Sports, ambapo Februari 15 watakuwa wenyeji wa Biashara United, mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Chanzo chetu kutoka ndani yaYanga, kimeliambia Championi Jumatano kuwa, uongozi umelita benchi la ufundi kupitia kwa mratibu wa mashindano, Thabit Kandoro

[QUOTE="Amir, post: 837, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Atakiwa Kuwasilisha Ripoti Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_249408202_1159546137913421_4384637946363514116_n.jpg[/IMG] HATIMAYE Uongozi waYanga, umelitaka benchi la ufundi la timu hiyo, linaloongozwa na kocha raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi, kuwasilisha mara moja ripoti ya mpango kazi unaoainisha mambo watakayoyafanya takribani wiki mbili za mapumziko kabla mechi za Ligi Kuu Bara kurejea. Yanga bado ni vinara wa ligi, wakiwa na jumla ya pointi 36, walizozipata baada ya kucheza mechi 14 na kuvuna ushindi katika mechi 11, huku wakitoka sare tatu. TayariYanga ipo kambini ikiendelea kujinoa kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho laAzam Sports, ambapo Februari 15 watakuwa wenyeji wa Biashara United, mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Chanzo chetu kutoka ndani yaYanga, kimeliambia Championi Jumatano kuwa, uongozi umelita benchi la ufundi kupitia kwa mratibu wa mashindano, Thabit Kandoro [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom