Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kocha Yanga Awasifu Makipa Wake “Wote Wako Vizuri.

KOCHA wa Makipa wa Yanga, Mikton Nienov amewasifu makipa wake, Djigui Diarra, Aboutwaleb Mshery na Erick Johora wotw kwa pamoja wanafanya vizuri na kuisaidia timu yao.

“Namshukuru Mungu kwa timu yetu kuwa na walinda milango mahiri ambao hawajapishana sana viwango vyao. Kazi yetu benchi la ufundi, ni kuboresha viwango vyao, kuvikuza, kulinda na kuweka ushindani ndaji yao ili kuleta matokeo chanya kati yao na timu kwa ujumla.

“Tupo katika FA na ligi kuu na malengo ya klabu ni kufanya vyema kwenye ligi zote, hivyo ni lazima kumsaidia kocha mkuu kuandaa wachezaji wote katika ubora mzuri ili awe na uwanja mpana wa kuwatumia.

“Kuna injury, national call ups, cards, matatizo binafsi, kushuka kiwango, hivyo kama hutakuwa na wachezaji wazuri wenye kuendana viwango kila idara, itakuwa ngumu kushindana na wenzako wenye depth kubwa kwenye selection ya wachezaji,” amesema Milton.

[QUOTE="vuligate, post: 890, member: 123"] [HEADING=1]Kocha Yanga Awasifu Makipa Wake “Wote Wako Vizuri.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/makipa-yanga.jpg[/IMG] KOCHA wa Makipa wa Yanga, Mikton Nienov amewasifu makipa wake, Djigui Diarra, Aboutwaleb Mshery na Erick Johora wotw kwa pamoja wanafanya vizuri na kuisaidia timu yao. “Namshukuru Mungu kwa timu yetu kuwa na walinda milango mahiri ambao hawajapishana sana viwango vyao. Kazi yetu benchi la ufundi, ni kuboresha viwango vyao, kuvikuza, kulinda na kuweka ushindani ndaji yao ili kuleta matokeo chanya kati yao na timu kwa ujumla. “Tupo katika FA na ligi kuu na malengo ya klabu ni kufanya vyema kwenye ligi zote, hivyo ni lazima kumsaidia kocha mkuu kuandaa wachezaji wote katika ubora mzuri ili awe na uwanja mpana wa kuwatumia. “Kuna injury, national call ups, cards, matatizo binafsi, kushuka kiwango, hivyo kama hutakuwa na wachezaji wazuri wenye kuendana viwango kila idara, itakuwa ngumu kushindana na wenzako wenye depth kubwa kwenye selection ya wachezaji,” amesema Milton. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom