Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Amuandaa Djuma Kuwamaliza Mtibwa Sugar.

RASMI beki wa pembeni wa Yanga, Mkongomani, Djuma Shaban ataanza kuonekana katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro ikiwa ni baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu.

Mkongomani huyo hivi karibuni alisimamishwa kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara na faini baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania.

Djuma anamaliza adhabu hiyo baada ya kukosa michezo ya ligi dhidi ya Mbeya City na miwili ya FA ambayo ni Mbao FC kabla ya kumalizia na Biashara United, Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, alisema ameanza kumuingiza beki huyo katika mipango yake ya mchezo ujao wa ligi baada ya kuikosa michezo miwili huku akisubiria dhidi ya Biashara ambao atakuwa anamalizia adhabu yake.

Aliongeza kuwa, hivi karibuni alifanya kikao na beki huyo na kumtaka kupunguza jazba za ndani ya uwanja mara baada ya kuchezewa vibaya na wachezaji wa timu pinzani.

“Wachezaji wangu karibia wote wanachezewa vibaya kwa kupaniwa na wachezaji wa timu pinzani, hivyo nisingependa kuwaona wakiwa na jazba mara baada ya kuchezewa vibaya kwa kurudishia.

“Nilishamuonya Djuma kutorudishia rafu atakazokuwa anachezewa na wachezaji pinzani kwa hofu ya kupewa adhabu kama aliyoipata ambayo inaigharimu timu katika kupata matokeo mazuri ya ushindi,” alisema Nabi.

[QUOTE="vuligate, post: 893, member: 123"] [HEADING=1]Nabi Amuandaa Djuma Kuwamaliza Mtibwa Sugar.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/DJUMA.jpeg[/IMG] RASMI beki wa pembeni wa Yanga, Mkongomani, Djuma Shaban ataanza kuonekana katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro ikiwa ni baada ya kumaliza adhabu yake ya kufungiwa mechi tatu. Mkongomani huyo hivi karibuni alisimamishwa kucheza michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara na faini baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania. Djuma anamaliza adhabu hiyo baada ya kukosa michezo ya ligi dhidi ya [B]Mbeya City[/B] na miwili ya FA ambayo ni Mbao FC kabla ya kumalizia na Biashara United, Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kocha Mkuu wa Yanga, [B]Nasreddine Nabi[/B], alisema ameanza kumuingiza beki huyo katika mipango yake ya mchezo ujao wa ligi baada ya kuikosa michezo miwili huku akisubiria dhidi ya Biashara ambao atakuwa anamalizia adhabu yake. Aliongeza kuwa, hivi karibuni alifanya kikao na beki huyo na kumtaka kupunguza jazba za ndani ya uwanja mara baada ya kuchezewa vibaya na wachezaji wa timu pinzani. “Wachezaji wangu karibia wote wanachezewa vibaya kwa kupaniwa na wachezaji wa timu pinzani, hivyo nisingependa kuwaona wakiwa na jazba mara baada ya kuchezewa vibaya kwa kurudishia. “Nilishamuonya [B]Djuma[/B] kutorudishia rafu atakazokuwa anachezewa na wachezaji pinzani kwa hofu ya kupewa adhabu kama aliyoipata ambayo inaigharimu timu katika kupata matokeo mazuri ya ushindi,” alisema [B]Nabi[/B]. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom