Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pointi 5 zaipa Kiburi Yanga Kusepa na Ubingwa.

MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa pointi 5 ambazo wamewapita wapinzani wao Simba ni nyingi na zinawapa nguvu ya kuweza kutwaa ubingwa.

Yanga wanaongoza ligi wakiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14 huku mabingwa watetezi Simba wakiwa na pointi 31 baada ya mechi 15, tofauti ya pointi tano na Yanga ambao wana mchezo mmoja mkononi.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Yanga, Hassan Bumbuli alisema kuwa pointi tano walizonazo kibindoni sio chache zinawapa hali ya kujiamini na nguvu ya kutwaa ubingwa.

“Tunaongoza ligi ipo wazi na tumewaacha wapinzani wetu kwa tofauti ya pointi tano, hizo sio za kubeza zinatupa nguvu ya kuweza kusaka ubingwa wa ligi na tunahitaji kuweza kutwaa kwa kuwa tumejipanga.

“Wachezaji wapo tayari na benchi la ufundi linaendelea kuwapa mbinu wachezaji, mapumziko yamekwisha kila mmoja kwa sasa yupo kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu ujao na haitakuwa kazi rahisi kupata ushindi lakini tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo,” alisema Bumbuli.

Mchezo ujao wa Yanga kwenye ligi ni dhidi ya Mtibwa Sugar unatarajiwa kuchezwa Februari 23, Uwanja wa Manungu, Morogoro.

[QUOTE="vuligate, post: 896, member: 123"] [HEADING=1]Pointi 5 zaipa Kiburi Yanga Kusepa na Ubingwa.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-9-1.jpg[/IMG] MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wameweka wazi kuwa pointi 5 ambazo wamewapita wapinzani wao Simba ni nyingi na zinawapa nguvu ya kuweza kutwaa ubingwa. Yanga wanaongoza ligi wakiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14 huku mabingwa watetezi Simba wakiwa na pointi 31 baada ya mechi 15, tofauti ya pointi tano na Yanga ambao wana mchezo mmoja mkononi. Akizungumza na Championi Jumamosi, Mkuu wa Kitengo cha Habari ndani ya Yanga, Hassan Bumbuli alisema kuwa pointi tano walizonazo kibindoni sio chache zinawapa hali ya kujiamini na nguvu ya kutwaa ubingwa. “Tunaongoza ligi ipo wazi na tumewaacha wapinzani wetu kwa tofauti ya pointi tano, hizo sio za kubeza zinatupa nguvu ya kuweza kusaka ubingwa wa ligi na tunahitaji kuweza kutwaa kwa kuwa tumejipanga. “Wachezaji wapo tayari na benchi la ufundi linaendelea kuwapa mbinu wachezaji, mapumziko yamekwisha kila mmoja kwa sasa yupo kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wetu ujao na haitakuwa kazi rahisi kupata ushindi lakini tupo tayari kwa ajili ya kupata matokeo,” alisema Bumbuli. Mchezo ujao wa Yanga kwenye ligi ni dhidi ya Mtibwa Sugar unatarajiwa kuchezwa Februari 23, Uwanja wa Manungu, Morogoro. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom