Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yacouba anarejea mdogomdogo Yanga.

KIUNGO wa Yanga, Yacouba Songne, yupo kwenye hatua za mwisho za kuimarika afya yake kabla ya kuungana na timu na kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC).

Yacouba kwa sasa yupo kwenye program maalumu chini ya kocha wa viungo ambayo inamrejesha taratibu kwenye hali yake ya kawaida na huenda wiki ijayo ataungana na wenzake katika viwanja vya mazoezi.

Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro, aliliambia Championi Jumatatu kuwa alikuwepo kwenye uwanja wa mazoezi juzi na aliona namna ambavyo Yacouba anatia matumaini na anaonyesha amebakiza siku chache ili aweze kurejea uwanjani.

“Yacouba huenda wiki ijayo akaanza mazoezi ya uwanjani, kwa maana nilivyomuona juzi anaonekana hana muda mrefu. Kwa sasa yupo chini ya program ya kocha wa viungo na huenda wiki ijayo akaungana na wenzake,” alisema.

Yacouba yupo nje ya uwanja kwa muda sasa akiuguza majeraha ya goti ambayo aliyapata kwenye mechi ya ligi na kulazimika kufanyiwa upasuaji.

[QUOTE="Amir, post: 901, member: 20"] [HEADING=1]Yacouba anarejea mdogomdogo Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2021/01/yacouba-songne-of-yanga-sc_wtewwt5qusg71mdkjhyn93jid-1.jpg[/IMG] KIUNGO wa Yanga, Yacouba Songne, yupo kwenye hatua za mwisho za kuimarika afya yake kabla ya kuungana na timu na kufanya mazoezi ya pamoja kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC). Yacouba kwa sasa yupo kwenye program maalumu chini ya kocha wa viungo ambayo inamrejesha taratibu kwenye hali yake ya kawaida na huenda wiki ijayo ataungana na wenzake katika viwanja vya mazoezi. Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro, aliliambia Championi Jumatatu kuwa alikuwepo kwenye uwanja wa mazoezi juzi na aliona namna ambavyo Yacouba anatia matumaini na anaonyesha amebakiza siku chache ili aweze kurejea uwanjani. “Yacouba huenda wiki ijayo akaanza mazoezi ya uwanjani, kwa maana nilivyomuona juzi anaonekana hana muda mrefu. Kwa sasa yupo chini ya program ya kocha wa viungo na huenda wiki ijayo akaungana na wenzake,” alisema. Yacouba yupo nje ya uwanja kwa muda sasa akiuguza majeraha ya goti ambayo aliyapata kwenye mechi ya ligi na kulazimika kufanyiwa upasuaji. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom