Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi afumua ukuta Yanga, Bilionea ajifungia na mastaa.

YANGA ipo kambini ikiendelea na maandalizi ya mechi yao ya leo ya michuano ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Biashara United, huku kocha Nasreddine Nabi, akipokea kwa mshtuko taarifa za kufungiwa kwa beki wake mmoja na fasta ameamua kufumua ukuta mzima wa timu hiyo ili kuhakikisha wakiendelea moto.

Beki wa kati tegemeo, Dickson Job amefungiwa mechi tatu na Bodi ya Ligi kupitia Kamati ya Saa 72 baada ya kumkanyaga vibaya nyota wa Mbeya City, Richard Ng’ondya wakati timu hizo zilipokutana jijini Dar na kuisha kwa suluhu.

Job ataanza kutumikia adhabu hiyo kuanzia mechi ya kesho ya hatua ya 16 Bora ya ASFC dhidi ya Biashara United na hapo ndipo kichwa kilipomuuma kocha Nabi.

Akizungumza na Mwanaspoti juzi jijini Dar es Salaam, Nabi alisema baada ya kufungiwa kwa Job sasa analazimika kurudi kazini akianzia jana na leo kuunda upya safu yake ya ulinzi kitu ambacho awali hakuwa na mpango nao.

Kocha Nabi alisema Job alikuwa aendelee kuziba nafasi ya Djuma Shaban ambaye naye anatumikia adhabu ya kusomamishwa mechi tatu kwa kosa kama hilo dhidi ya mchezaji wa Polisi Tanzania katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Arusha. Djuma anamaliza adhabu hiyo katika mechi hiyo ya Biashara.

“Ilikuwa niendelee kumtumia pale beki ya kulia, lakini kwa adhabu aliyopewa imeturudishia kazi mpya kabisa ambayo hatukuitarajia,” alisema Nabi na kuongeza;

“Tutalazimika kubadilisha sana eneo la ulinzi na kazi hiyo tutaifanya Jumapili na Jumatatu ili tuone kipi tutaweza kuamua, watu wapo ambao wanaweza kuziba hiyo nafasi kitu ambacho kitatupa wasiwasi ni maelewano yao kwa kuwa baadhi yao watakuwa ni wapya kabisa.”

Nabi anaweza kuwatumia mabeki Paul Godfrey ‘Boxer’ au beki wake mpya Ibrahim Bacca kucheza eneo hilo la beki wa kulia katika mchezo huo wa hatua ya robo fainali. Beki mwingine mwenye namba yake, Kibwana Shomary ni majeruhi.

Huenda pia eneo la beki wa kati na hata beki wa kushoto nako kukawa na mabadiliko makubwa kwa watu wapya kurejea ambapo kuna nafasi kubwa beki wa kushoto Yassin Mustafa kuukosa mchezo huo, huku David Bryson akiwa bado hayuko sawa baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Mbeya.

Yanga inakutana na Biashara katika mechi ya ASFC kwa mara ya tatu, baada ya awali kukutana mara mbili na zote vijana wa Jangwani kuwang’oa wapinzani wao.

Ilikutana katika 16 Bora misimu miwili iliyopita na Yanga kupenya kwa penalti baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 kisha msimu uliopita zikavaana nusu fainali iliyopigwa mjini Tabora na Yanga kushinda kwa bao 1-0.

BILIONEA, MASTAA WAJIFUNGIA MCHANA

Katika hatua nyingine ya kuhakikisha Yanga inaendeleza moto wake kwenye mechi zao zote zilizosalia za Ligi Kuu Bara na ASFC, jana Jumapili kikosi kizima kilikuwa na kikao kizito na bilionea wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM) ambaye aliwaalika chakula cha mchana.

Baada ya mazoezi ya asubuhi kikosi hicho kilitua katika jumba moja kubwa la kisasa kisha kukutana na GSM ambaye alitaka kukutana na wachezaji na makocha pekee katika kikao hicho.

Haijulikani sababu ya kikao hicho, ila Mwanaspoti linafahamu ni moja ya mikakati ya kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mechi zake zinazokuja.

Yanga inasaka ndoo ya kwanza wa Ligi Kuu baada ya kuukosa kwa misimu minne na taji la ASFC inalolisotea misimu mitano.

[QUOTE="Amir, post: 912, member: 20"] [HEADING=1]Nabi afumua ukuta Yanga, Bilionea ajifungia na mastaa.[/HEADING] [IMG alt="nabi pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3717158/landscape_ratio16x9/1160/652/4c07a18f4cf82327cb2196413a5bc83d/aT/nabi-pic.jpg[/IMG] YANGA ipo kambini ikiendelea na maandalizi ya mechi yao ya leo ya michuano ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Biashara United, huku kocha Nasreddine Nabi, akipokea kwa mshtuko taarifa za kufungiwa kwa beki wake mmoja na fasta ameamua kufumua ukuta mzima wa timu hiyo ili kuhakikisha wakiendelea moto. Beki wa kati tegemeo, Dickson Job amefungiwa mechi tatu na Bodi ya Ligi kupitia Kamati ya Saa 72 baada ya kumkanyaga vibaya nyota wa Mbeya City, Richard Ng’ondya wakati timu hizo zilipokutana jijini Dar na kuisha kwa suluhu. Job ataanza kutumikia adhabu hiyo kuanzia mechi ya kesho ya hatua ya 16 Bora ya ASFC dhidi ya Biashara United na hapo ndipo kichwa kilipomuuma kocha Nabi. Akizungumza na Mwanaspoti juzi jijini Dar es Salaam, Nabi alisema baada ya kufungiwa kwa Job sasa analazimika kurudi kazini akianzia jana na leo kuunda upya safu yake ya ulinzi kitu ambacho awali hakuwa na mpango nao. Kocha Nabi alisema Job alikuwa aendelee kuziba nafasi ya Djuma Shaban ambaye naye anatumikia adhabu ya kusomamishwa mechi tatu kwa kosa kama hilo dhidi ya mchezaji wa Polisi Tanzania katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Arusha. Djuma anamaliza adhabu hiyo katika mechi hiyo ya Biashara. “Ilikuwa niendelee kumtumia pale beki ya kulia, lakini kwa adhabu aliyopewa imeturudishia kazi mpya kabisa ambayo hatukuitarajia,” alisema Nabi na kuongeza; “Tutalazimika kubadilisha sana eneo la ulinzi na kazi hiyo tutaifanya Jumapili na Jumatatu ili tuone kipi tutaweza kuamua, watu wapo ambao wanaweza kuziba hiyo nafasi kitu ambacho kitatupa wasiwasi ni maelewano yao kwa kuwa baadhi yao watakuwa ni wapya kabisa.” Nabi anaweza kuwatumia mabeki Paul Godfrey ‘Boxer’ au beki wake mpya Ibrahim Bacca kucheza eneo hilo la beki wa kulia katika mchezo huo wa hatua ya robo fainali. Beki mwingine mwenye namba yake, Kibwana Shomary ni majeruhi. Huenda pia eneo la beki wa kati na hata beki wa kushoto nako kukawa na mabadiliko makubwa kwa watu wapya kurejea ambapo kuna nafasi kubwa beki wa kushoto Yassin Mustafa kuukosa mchezo huo, huku David Bryson akiwa bado hayuko sawa baada ya kuumia katika mchezo dhidi ya Mbeya. Yanga inakutana na Biashara katika mechi ya ASFC kwa mara ya tatu, baada ya awali kukutana mara mbili na zote vijana wa Jangwani kuwang’oa wapinzani wao. Ilikutana katika 16 Bora misimu miwili iliyopita na Yanga kupenya kwa penalti baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90 kisha msimu uliopita zikavaana nusu fainali iliyopigwa mjini Tabora na Yanga kushinda kwa bao 1-0. [B]BILIONEA, MASTAA WAJIFUNGIA MCHANA[/B] Katika hatua nyingine ya kuhakikisha Yanga inaendeleza moto wake kwenye mechi zao zote zilizosalia za Ligi Kuu Bara na ASFC, jana Jumapili kikosi kizima kilikuwa na kikao kizito na bilionea wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM) ambaye aliwaalika chakula cha mchana. Baada ya mazoezi ya asubuhi kikosi hicho kilitua katika jumba moja kubwa la kisasa kisha kukutana na GSM ambaye alitaka kukutana na wachezaji na makocha pekee katika kikao hicho. Haijulikani sababu ya kikao hicho, ila Mwanaspoti linafahamu ni moja ya mikakati ya kuhakikisha timu hiyo inafanya vizuri katika mechi zake zinazokuja. Yanga inasaka ndoo ya kwanza wa Ligi Kuu baada ya kuukosa kwa misimu minne na taji la ASFC inalolisotea misimu mitano. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom