Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Awapangia Biashara Muziki Mnene.

YANGA watashuka dimbani leo Jumanne kucheza na Biashara United kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ndani ya Dimba la Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 usiku.

Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports, utaamua nani anakwenda hatua ya robo fainali.

Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi, baada ya kufanya maandalizi kwa takribani wiki moja, leo amepanga kuweka kikosi chake cha ushindi kutokana na umuhimu wa mchezo huo.

Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro, ameliambia Spoti Xtra kuwa: “Mchezo wetu wa kesho (leo) utakuwa na umuhimu mkubwa sana wa kupata matokeo ya ushindi kwa sababu tunahitaji kuvuka hapa na kwenda hatua inayofuata.

“Kocha Nabi nilipozungumza naye aliweka wazi kuwa anataka kuweka mkoko wa maana kwenye mechi hiyo kwani kwa vyovyote anahitaji kushinda na kusonga mbele zaidi hadi fainali na kuwa mabingwa.”

Kwa upande wa Biashara United, Kocha Mkuu, Vivier Bahati, alisema: “Tunamshukuru Mungu tumemaliza maandalizi kuelekea mchezo wetu wa kesho (leo) dhidi ya Yanga.

“Wachezaji wote wapo fiti, tutahakikisha tunapambana na kupata matokeo mazuri kwa ajili ya kuvuka katika hatua

inayofuata kwani mipango yetu ni kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa msimu ujao.”

Yanga na Biashata United zinakwenda kukutana ikiwa imepita takribani miezi miwili, mara ya mwisho zilikutana Desemba 26, 2021 ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa Yanga kushinda 2-1.

[QUOTE="Amir, post: 918, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Awapangia Biashara Muziki Mnene.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273265682_337236161610068_6204935112247286040_n.jpg[/IMG] YANGA watashuka dimbani leo Jumanne kucheza na Biashara United kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ndani ya Dimba la Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 usiku. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports, utaamua nani anakwenda hatua ya robo fainali. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi, baada ya kufanya maandalizi kwa takribani wiki moja, leo amepanga kuweka kikosi chake cha ushindi kutokana na umuhimu wa mchezo huo. Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga, Thabity Kandoro, ameliambia Spoti Xtra kuwa: “Mchezo wetu wa kesho (leo) utakuwa na umuhimu mkubwa sana wa kupata matokeo ya ushindi kwa sababu tunahitaji kuvuka hapa na kwenda hatua inayofuata. “Kocha Nabi nilipozungumza naye aliweka wazi kuwa anataka kuweka mkoko wa maana kwenye mechi hiyo kwani kwa vyovyote anahitaji kushinda na kusonga mbele zaidi hadi fainali na kuwa mabingwa.” Kwa upande wa Biashara United, Kocha Mkuu, Vivier Bahati, alisema: “Tunamshukuru Mungu tumemaliza maandalizi kuelekea mchezo wetu wa kesho (leo) dhidi ya Yanga. “Wachezaji wote wapo fiti, tutahakikisha tunapambana na kupata matokeo mazuri kwa ajili ya kuvuka katika hatua inayofuata kwani mipango yetu ni kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya kimataifa msimu ujao.” Yanga na Biashata United zinakwenda kukutana ikiwa imepita takribani miezi miwili, mara ya mwisho zilikutana Desemba 26, 2021 ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara uliomalizika kwa Yanga kushinda 2-1. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom