Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yacouba Apewa Siku 45 Tu Yanga.

DAKTARI wa viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne, amepata nafuu na atarejea uwanjani baada ya takribani siku 45.

Yacouba yupo nje ya uwanja tangu Novemba mwaka jana alipoumia goti ambapo tayari amepatiwa matibabu nchini Tunisia.

Akizungumza na Spoti Xtra, Ammar alisema Yacouba ameanza program ya mazoezi ya kukimbia mbio fupi na

ndefu kwa ajili ya kujiweka sawa, ikiwa ni baada ya kumaliza program ya gym.

Aliongeza kuwa nyota huyo atakuwa fiti na kamili kuanza kuipambania timu hiyo, baada ya mwezi mmoja na nusu ambao ni sawa na siku 45.

“Licha ya Yacouba kupata nafuu pamoja na kuanza program ya mazoezi ya kukimbia mbio fupi na ndefu, lakini bado anaendelea na matibabu chini ya uangalizi wangu. “Kwani bado hajapona vizuri, hivyo yupo chini ya uangalizi kwa hofu ya kujitonesha ili asirejee tena katika majeraha hayo ya goti.

“Kutokana na maendeleo yake hivi sasa, upo uwezekano wa kurejea rasmi uwanjani baada ya mwezi mmoja na nusu,” alisema Ammar.

[QUOTE="Amir, post: 929, member: 20"] [HEADING=1]Yacouba Apewa Siku 45 Tu Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/yangasc_273981881_4154637584638908_8217086733076312454_n-1.jpg[/IMG] DAKTARI wa viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, amesema kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Yacouba Songne, amepata nafuu na atarejea uwanjani baada ya takribani siku 45. Yacouba yupo nje ya uwanja tangu Novemba mwaka jana alipoumia goti ambapo tayari amepatiwa matibabu nchini Tunisia. Akizungumza na Spoti Xtra, Ammar alisema Yacouba ameanza program ya mazoezi ya kukimbia mbio fupi na ndefu kwa ajili ya kujiweka sawa, ikiwa ni baada ya kumaliza program ya gym. Aliongeza kuwa nyota huyo atakuwa fiti na kamili kuanza kuipambania timu hiyo, baada ya mwezi mmoja na nusu ambao ni sawa na siku 45. “Licha ya Yacouba kupata nafuu pamoja na kuanza program ya mazoezi ya kukimbia mbio fupi na ndefu, lakini bado anaendelea na matibabu chini ya uangalizi wangu. “Kwani bado hajapona vizuri, hivyo yupo chini ya uangalizi kwa hofu ya kujitonesha ili asirejee tena katika majeraha hayo ya goti. “Kutokana na maendeleo yake hivi sasa, upo uwezekano wa kurejea rasmi uwanjani baada ya mwezi mmoja na nusu,” alisema Ammar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom