Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga waitana fasta.

WAKATI vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara ikizidi kupamba moto, wanachama na mashabiki wa Yanga tawi la Mwanjelwa wameitana fasta kuweka mikakati ya kumaliza kazi mapema.

Kwa sasa ni misimu minne Yanga haijaonja ubingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), jambo linalowafanya mashabiki na viongozi wao nchini kutokuwa na furaha.

Hata hivyo, msimu huu wakongwe hao wameonekana kupania zaidi kutokana na mwenendo wao wakiwa kileleni kwa pointi 36, huku wakicheza mechi 14 bila kupoteza.

Katibu wa tawi hilo kongwe jijini hapa lenye wanachama 77, Rajabu Mrisho alisema Jumamosi hii mashabiki na wanachama watakuwa na mkutano kujadili mambo mbalimbali juu ya timu yao.

Alisema lengo kubwa ni kuhamasisha uandikishaji kupata wanachama wapya, pia ishu ya mikakati ya kuipa ubingwa timu yao na kuweka umoja na mshikamano.

“Mkutano utafanyika Jumamosi, kwenye Ukumbi wa Tughimbe, lengo ni kuhamasisha wanachama kujiandikisha lakini kujadili namna ya timu yetu msimu huu kupata ubingwa, niwaombe mashabiki kujitokeza kwa wingi,” alisema Mrisho.

Naye Said Athuman mwanachama wa timu hiyo kutoka tawi hilo, alisema kwa sasa wana matumaini makubwa kwa timu yao kubeba taji baada ya kulikosa muda mrefu.

“Iwe FA tunachukua, Ligi Kuu hapo ndio tunapataka zaidi, msimu huu tumedhamilia kuhakikisha tunakata kiu ya muda mrefu, mashabiki tuungane kwa pamoja,” alisema Athuman ambaye ni Katibu Msaidizi.

[QUOTE="mhariri, post: 932, member: 122"] [HEADING=1]Yanga waitana fasta.[/HEADING] [IMG alt="waitana pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3717242/8a6c32cd830e36225ea6e52680355b02/waitana-pic-data.jpg[/IMG] WAKATI vita ya ubingwa wa Ligi Kuu Bara ikizidi kupamba moto, wanachama na mashabiki wa Yanga tawi la Mwanjelwa wameitana fasta kuweka mikakati ya kumaliza kazi mapema. Kwa sasa ni misimu minne Yanga haijaonja ubingwa wa Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), jambo linalowafanya mashabiki na viongozi wao nchini kutokuwa na furaha. Hata hivyo, msimu huu wakongwe hao wameonekana kupania zaidi kutokana na mwenendo wao wakiwa kileleni kwa pointi 36, huku wakicheza mechi 14 bila kupoteza. Katibu wa tawi hilo kongwe jijini hapa lenye wanachama 77, Rajabu Mrisho alisema Jumamosi hii mashabiki na wanachama watakuwa na mkutano kujadili mambo mbalimbali juu ya timu yao. Alisema lengo kubwa ni kuhamasisha uandikishaji kupata wanachama wapya, pia ishu ya mikakati ya kuipa ubingwa timu yao na kuweka umoja na mshikamano. “Mkutano utafanyika Jumamosi, kwenye Ukumbi wa Tughimbe, lengo ni kuhamasisha wanachama kujiandikisha lakini kujadili namna ya timu yetu msimu huu kupata ubingwa, niwaombe mashabiki kujitokeza kwa wingi,” alisema Mrisho. Naye Said Athuman mwanachama wa timu hiyo kutoka tawi hilo, alisema kwa sasa wana matumaini makubwa kwa timu yao kubeba taji baada ya kulikosa muda mrefu. “Iwe FA tunachukua, Ligi Kuu hapo ndio tunapataka zaidi, msimu huu tumedhamilia kuhakikisha tunakata kiu ya muda mrefu, mashabiki tuungane kwa pamoja,” alisema Athuman ambaye ni Katibu Msaidizi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom