Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Kufyeka Mishahara Ya Mastaa Yanga.

KUFUATIA wachezaji wa Yanga, Dickson Job na Djuma Shabani, kusimamishwa kucheza mechi za ligi na Shirikisho

la Soka Tanzania (TFF) kutokana na makosa waliyofanya katika michezo iliyopita, kocha wa timu hiyo, Nasraddine Nabi, ameibuka na kuwaonya kutorudia vitendo hivyo la sivyo atachukua mshahara wote.

Djuma alisimamishwa na Bodi ya Ligi kucheza mechi tatu baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania, Yahaya Mbegu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0, huku Job akipewa adhabu baada ya kumchezea rafu, Richardson Ngodya wa Mbeya City hivyo na yeye kusimamishwa michezo mitatu.

Chanzo chetu kutoka Yanga kimeliambia Championi kuwa, pamoja na Bodi ya Ligi kutoa maamuzi yake, Nabi naye katoa onyo kali kwa nyota hao ambapo amewataka wachezaji wote wa Yanga kuepuka makosa ya kizembe ambayo yanaweza kuigharimu timu kwa kukosa huduma zao uwanjani.

“Kocha ameitisha kikao mara baada ya Djuma na Job kupewa adhabu ya kukosa mechi tatu, aliwaambia mara nyingine ataondoka na mshahara wa mchezaji atakayeonekana kusimamishwa baada ya kufanya kosa la kizembe.

“Kocha amewaambia wachezaji kujichunga sana katika kudhibiti hasira kwani endapo hawatakuwa makini basi wanaweza kujikuta takribani kila mechi kuna mchezaji anasimamishwa kwani kutokana na mwenendo wa timu kwa sasa wapinzani wanahakikisha wanawachokonoa ili wapate adhabu ambayo itawapunguza kasi,” kilisema chanzo hicho. Alipotafutwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara alisema: “Samahani niko hospitali, nitakupigia.”

[QUOTE="Amir, post: 939, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Kufyeka Mishahara Ya Mastaa Yanga.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273265682_337236161610068_6204935112247286040_n.jpg[/IMG] KUFUATIA wachezaji wa Yanga, Dickson Job na Djuma Shabani, kusimamishwa kucheza mechi za ligi na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na makosa waliyofanya katika michezo iliyopita, kocha wa timu hiyo, Nasraddine Nabi, ameibuka na kuwaonya kutorudia vitendo hivyo la sivyo atachukua mshahara wote. Djuma alisimamishwa na Bodi ya Ligi kucheza mechi tatu baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzania, Yahaya Mbegu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, ambapo Yanga ilishinda kwa bao 1-0, huku Job akipewa adhabu baada ya kumchezea rafu, Richardson Ngodya wa Mbeya City hivyo na yeye kusimamishwa michezo mitatu. Chanzo chetu kutoka Yanga kimeliambia Championi kuwa, pamoja na Bodi ya Ligi kutoa maamuzi yake, Nabi naye katoa onyo kali kwa nyota hao ambapo amewataka wachezaji wote wa Yanga kuepuka makosa ya kizembe ambayo yanaweza kuigharimu timu kwa kukosa huduma zao uwanjani. “Kocha ameitisha kikao mara baada ya Djuma na Job kupewa adhabu ya kukosa mechi tatu, aliwaambia mara nyingine ataondoka na mshahara wa mchezaji atakayeonekana kusimamishwa baada ya kufanya kosa la kizembe. “Kocha amewaambia wachezaji kujichunga sana katika kudhibiti hasira kwani endapo hawatakuwa makini basi wanaweza kujikuta takribani kila mechi kuna mchezaji anasimamishwa kwani kutokana na mwenendo wa timu kwa sasa wapinzani wanahakikisha wanawachokonoa ili wapate adhabu ambayo itawapunguza kasi,” kilisema chanzo hicho. Alipotafutwa Msemaji wa Yanga, Haji Manara alisema: “Samahani niko hospitali, nitakupigia.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom