Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Moloko akifanya hivi atawavuruga kinoma.

WINGA wa Yanga, Jesus Moloko kwa kasi aliyonayo ameshauriwa kuongeza maarifa kwenye umaliziaji jambo litakalompa urahisi wa kufanya makubwa Ligi Kuu Bara.

Tangu amejiunga na Yanga msimu huu, Moloko amecheza mechi 13 za ligi na hajacheza dakika 90, huku akicheza dakika chache zaidi (23) dhidi ya Tanzania Prisons, ambapo dakika alizocheza katika mechi 13 ni 886, jambo ambalo wadau wameona kitu cha ziada kwake. Katika mahojiano na Mwanaspoti, wadau walidai Moloko ana vitu miguuni ambavyo hajavionyesha na kumtaka aongeze bidii ili atishe.

Staa wa zamani wa timu hiyo, Sekilojo Chambua alisema nyota huyo ana kasi nzuri, isipokuwa anapaswa kuongeza maarifa katika umaliziaji wa mipira ya mwisho.

“Ana kasi nzuri inayoendana na nafasi anayocheza. Pamoja na hilo siyo mzuri kwenye umaliziaji wa mipira ya mwisho, ila akiongeza bidii katika hilo ataifanyia mambo makubwa Yanga,” alisema.

Straika wa zamani wa timu hiyo, Said Bahanuzi alisema kwa mbio zake akiwa na umaliziaji mzuri anaweza kufunga mabao na kutoa asisti nyingi. “Ana kasi ambayo inaweza kuwa mwiba kwa mabeki, isipokuwa aongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho.”

Kipa wa zamani wa Simba na Yanga, Steven Nemes alisema Moloko anapaswa kuboresha umaliziaji ili kuendana na kasi yake.

[QUOTE="mhariri, post: 956, member: 122"] [HEADING=1]Moloko akifanya hivi atawavuruga kinoma.[/HEADING] [IMG alt="Moloko PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3719756/landscape_ratio16x9/1160/652/ec4b68ce7ba3a0d719e8563cb60c8480/ya/moloko-pic.jpg[/IMG] WINGA wa Yanga, Jesus Moloko kwa kasi aliyonayo ameshauriwa kuongeza maarifa kwenye umaliziaji jambo litakalompa urahisi wa kufanya makubwa Ligi Kuu Bara. Tangu amejiunga na Yanga msimu huu, Moloko amecheza mechi 13 za ligi na hajacheza dakika 90, huku akicheza dakika chache zaidi (23) dhidi ya Tanzania Prisons, ambapo dakika alizocheza katika mechi 13 ni 886, jambo ambalo wadau wameona kitu cha ziada kwake. Katika mahojiano na Mwanaspoti, wadau walidai Moloko ana vitu miguuni ambavyo hajavionyesha na kumtaka aongeze bidii ili atishe. Staa wa zamani wa timu hiyo, Sekilojo Chambua alisema nyota huyo ana kasi nzuri, isipokuwa anapaswa kuongeza maarifa katika umaliziaji wa mipira ya mwisho. “Ana kasi nzuri inayoendana na nafasi anayocheza. Pamoja na hilo siyo mzuri kwenye umaliziaji wa mipira ya mwisho, ila akiongeza bidii katika hilo ataifanyia mambo makubwa Yanga,” alisema. Straika wa zamani wa timu hiyo, Said Bahanuzi alisema kwa mbio zake akiwa na umaliziaji mzuri anaweza kufunga mabao na kutoa asisti nyingi. “Ana kasi ambayo inaweza kuwa mwiba kwa mabeki, isipokuwa aongeze umakini kwenye kumalizia mipira ya mwisho.” Kipa wa zamani wa Simba na Yanga, Steven Nemes alisema Moloko anapaswa kuboresha umaliziaji ili kuendana na kasi yake. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom