Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Chico Yamkuta, Aondolewa Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Chico Ushindi, atakaukosa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana na kuumwa ghafla.

Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Februari 25, mwaka huu mchezo unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa

Manungu, Turiani mkoani Morogoro.

Akizungumza na Spoti Xtra, Daktari wa Viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, alisema kiungo huyo alipata maumivu ya misuli siku moja kabla ya mchezo dhidi ya Biashara United uliochezwa juzi Jumanne.

Ammar alisema Chico alikuwepo katika mipango ya kucheza mechi hiyo ya juzi, lakini maumivu aliyoyapata yalisababisha aondolewe kikosini.

“Chico alikuwepo katika mipango ya kocha kuanza kikosi cha kwanza dhidi ya Biashara, lakini alikuja kuondolewa saa chachebaada ya kupata maumivu ya misuli akiwa mazoezini.

“Kuondolewa kwake kuliharibu mipango ya kocha, hivyo kutokana na maumivu hayo aliyoyapata, atatakiwa kukaa nje ya uwanja kuanzia siku saba hadi kumi kwa ajili ya kupatiwa matibabu, hivyo huenda akaukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya MtibwaSugar,” alisema Ammar.

[QUOTE="mhariri, post: 975, member: 122"] [HEADING=1]Chico Yamkuta, Aondolewa Yanga[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/Chico-Ushindi-1.jpg[/IMG] KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Chico Ushindi, atakaukosa mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar kutokana na kuumwa ghafla. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana Februari 25, mwaka huu mchezo unaotarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Spoti Xtra, Daktari wa Viungo wa Yanga, Mtunisia, Youssef Ammar, alisema kiungo huyo alipata maumivu ya misuli siku moja kabla ya mchezo dhidi ya Biashara United uliochezwa juzi Jumanne. Ammar alisema Chico alikuwepo katika mipango ya kucheza mechi hiyo ya juzi, lakini maumivu aliyoyapata yalisababisha aondolewe kikosini. “Chico alikuwepo katika mipango ya kocha kuanza kikosi cha kwanza dhidi ya Biashara, lakini alikuja kuondolewa saa chachebaada ya kupata maumivu ya misuli akiwa mazoezini. “Kuondolewa kwake kuliharibu mipango ya kocha, hivyo kutokana na maumivu hayo aliyoyapata, atatakiwa kukaa nje ya uwanja kuanzia siku saba hadi kumi kwa ajili ya kupatiwa matibabu, hivyo huenda akaukosa mchezo ujao wa ligi dhidi ya MtibwaSugar,” alisema Ammar. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom