Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mwamnyeto: Tunabeba Ubingwa ASFC.

BEKI wa kati wa Yanga ambaye pia ni nahodha wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto, amesema safari hii wanahitaji kufika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kuwa mabingwa.

Yanga juzi Jumanne walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa

mabao 2-1 dhidi ya Biashara United katika Uwanja wa Mkapa, Dar.

Akizungumz na Spoti Xtra, Mwamnyeto alisema, malengo yao msimu huu ni kuhakikisha

wanatwaa ubingwa wa michuano hiyo.

“Tunatakiwa kufika fainali ili tuwe mabingwa wa a michuano hii, akili zetu na malengo yetu yapo katika michuano hii na lazima tuhakikishe tunatimiza.

“Wapinzani wanatakiwa kujipanga kwani hata sisi tayari tumeshajipanga kucheza na timu yoyote itakayojitokeza

mbele yetu, hakuna jambo ambalo lisilowezekana, ni kujituma tu na kuwa na nia ya kuwa mabingwa na sisi tunayo

nia,” alisema nahodha huyo.

[QUOTE="mhariri, post: 976, member: 122"] [HEADING=1]Mwamnyeto: Tunabeba Ubingwa ASFC.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273994423_159030173143872_5780108529921510937_n.jpg[/IMG] BEKI wa kati wa Yanga ambaye pia ni nahodha wa timu hiyo, Bakari Mwamnyeto, amesema safari hii wanahitaji kufika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na kuwa mabingwa. Yanga juzi Jumanne walifanikiwa kutinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Akizungumz na Spoti Xtra, Mwamnyeto alisema, malengo yao msimu huu ni kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa michuano hiyo. “Tunatakiwa kufika fainali ili tuwe mabingwa wa a michuano hii, akili zetu na malengo yetu yapo katika michuano hii na lazima tuhakikishe tunatimiza. “Wapinzani wanatakiwa kujipanga kwani hata sisi tayari tumeshajipanga kucheza na timu yoyote itakayojitokeza mbele yetu, hakuna jambo ambalo lisilowezekana, ni kujituma tu na kuwa na nia ya kuwa mabingwa na sisi tunayo nia,” alisema nahodha huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom