Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga yahamishia mchakato Bungeni.

Klabu ya Yanga leo Feb 18 itafanya uzinduzi wa kadi mpya za Uanachama za kielektroniki kwa Wabunge wa Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wanachama wa Yanga.

Uzinduzi wa kadi za Kielektroniki ni sehemu ya mchakato wa mabadiliko ya kidigitali na ya mfumo wa uendeshaji wa Klabu kwa mujibu wa katiba ya Yanga toleo Ia 2021.

Hafla ya uzinduzi huo itafanyika kwenye Hoteli ya Morena jijini Dodoma kuanzia saa 4:00 asubuhi ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson.

Hafla hiyo itahudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge, Viongozi wa Klabu ya Yanga, wadau na waandishi wa habari.

[QUOTE="mhariri, post: 977, member: 122"] [HEADING=1]Yanga yahamishia mchakato Bungeni.[/HEADING] [IMG alt="Yanga pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3721168/landscape_ratio16x9/1160/652/2e65105a35ae747b9055c624b2f39f59/ay/yanga-pic.jpg[/IMG] Klabu ya Yanga leo Feb 18 itafanya uzinduzi wa kadi mpya za Uanachama za kielektroniki kwa Wabunge wa Bunge Ia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Wanachama wa Yanga. Uzinduzi wa kadi za Kielektroniki ni sehemu ya mchakato wa mabadiliko ya kidigitali na ya mfumo wa uendeshaji wa Klabu kwa mujibu wa katiba ya Yanga toleo Ia 2021. Hafla ya uzinduzi huo itafanyika kwenye Hoteli ya Morena jijini Dodoma kuanzia saa 4:00 asubuhi ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson. Hafla hiyo itahudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge, Viongozi wa Klabu ya Yanga, wadau na waandishi wa habari. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom