Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga bado Ushindi tu!

YANGA ya msimu huu sio ya mchezo, kwani timu pinzani zikiamua kumkomalia nyota mmoja, basi wengine hasa wa kigeni wanawaadhibu na rekodi zinaonyesha kwa kikosi cha sasa ni Chico Ushindi tu na kipa Djigui Diarra ndio hawajatupia.

Katika msimu huu Yanga ina maproo 11, kati ya hao tisa tayari wameshafunga mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), isipokuwa Ushindi aliyesajiliwa dirisha dogo na Diarra.

Mabao 23 ya Yanga katika Ligi Kuu, 17 yamefungwa na wageni huku sita yakifungwa na wazawa wakiongozwa na Feisal Salum ‘Fei Toto’. Straika Fiston Mayele anaongoza akifunga sita, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ (4), Shaban Djuma (1), Tonombe Mukoko (1), Khalid Aucho (2) na Jesus Moloko (3). Nje na mabao ya ligi katika michuano ya ASFC straika wa timu hiyo, Heritier Makambo ana mabao matatu, huku Mayele akitupia mawili, ilhali kiungo Yannick Bangala juzi dhidi ya Biashara United alifunga bao moja.

Kwa upande wa wazawa waliofunga ni Fei Toto (4), Dickson Ambundo (1) na bao moja alijifunga Justine Bilary (Dodoma Jiji).

Akizungumza na Mwanaspoti, mchambuzi wa soka George Ambangile alisema ndio maana halisi ya kikosi kipana kila mmoja anategemewa na wachezaji wenyewe wanatambua nini wanakifanya.

“Wanajenga kitu kimoja hawataki kugombea fito na ndio maana kila mmoja anapambana na akipata nafasi anafanya kile timu inatakiwa ifanye.Hamuwezi kuwa na matokeo mazuri kama kila mmoja anacheza ili aonekane yeye,” alisema.

Mchambuzi wa soka, Tigana Lukinja alisema kitu alichokitengeneza kocha Nasriddine Nabi ndani ya kikosi chake ndicho kimekuwa chachu ya mafanikio kwa wachezaji na sasa wanambeba.

[QUOTE="mhariri, post: 984, member: 122"] [HEADING=1]Yanga bado Ushindi tu![/HEADING] [IMG alt="Ushindi PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3721174/landscape_ratio16x9/1160/652/55c91419531d354573b56854c9ac5476/NB/ushindi-pic.jpg[/IMG] YANGA ya msimu huu sio ya mchezo, kwani timu pinzani zikiamua kumkomalia nyota mmoja, basi wengine hasa wa kigeni wanawaadhibu na rekodi zinaonyesha kwa kikosi cha sasa ni Chico Ushindi tu na kipa Djigui Diarra ndio hawajatupia. Katika msimu huu Yanga ina maproo 11, kati ya hao tisa tayari wameshafunga mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), isipokuwa Ushindi aliyesajiliwa dirisha dogo na Diarra. Mabao 23 ya Yanga katika Ligi Kuu, 17 yamefungwa na wageni huku sita yakifungwa na wazawa wakiongozwa na Feisal Salum ‘Fei Toto’. Straika Fiston Mayele anaongoza akifunga sita, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ (4), Shaban Djuma (1), Tonombe Mukoko (1), Khalid Aucho (2) na Jesus Moloko (3). Nje na mabao ya ligi katika michuano ya ASFC straika wa timu hiyo, Heritier Makambo ana mabao matatu, huku Mayele akitupia mawili, ilhali kiungo Yannick Bangala juzi dhidi ya Biashara United alifunga bao moja. Kwa upande wa wazawa waliofunga ni Fei Toto (4), Dickson Ambundo (1) na bao moja alijifunga Justine Bilary (Dodoma Jiji). Akizungumza na Mwanaspoti, mchambuzi wa soka George Ambangile alisema ndio maana halisi ya kikosi kipana kila mmoja anategemewa na wachezaji wenyewe wanatambua nini wanakifanya. “Wanajenga kitu kimoja hawataki kugombea fito na ndio maana kila mmoja anapambana na akipata nafasi anafanya kile timu inatakiwa ifanye.Hamuwezi kuwa na matokeo mazuri kama kila mmoja anacheza ili aonekane yeye,” alisema. Mchambuzi wa soka, Tigana Lukinja alisema kitu alichokitengeneza kocha Nasriddine Nabi ndani ya kikosi chake ndicho kimekuwa chachu ya mafanikio kwa wachezaji na sasa wanambeba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom