Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Nabi Ampa Mayele Kazi Maalum

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ametoa majukumu mazito kwa wachezaji wa timu hiyo, akiwemo kinara wa mabao, Fiston Mayele kwa kuhakikisha wanatupia mabao ya kutosha katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar kwa lengo la kuendelea kuongoza ligi.

Nabi ametoa kauli hiyo baada ya kurejea kwa ligi kufuatia kumaliza mechi za Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) huku wakiwa na kumbukumbu za matokeo ya suluhu katika mchezo wa mwisho dhidi ya Mbeya City kabla ya ligi kusimama kupisha Shirikisho.

Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14, ikishinda 11 huku ikiwa imetoka sare tatu. Ni timu pekee ambayo haijapoteza mechi hadi sasa kwenye ligi huku ikitarajiwa kuivaa Mtibwa Sugar Jumatano

ijayo, Manungu.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Nabi alisema kuwa wanarejea kwenye ligi wakiwa na lengo moja la kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi katika mchezo wao ujao dhidi ya Mtibwa ili kuendelea kuongoza ligi hiyo, hivyo

amewataka kupambania matokeo ya uhakika katika mchezo huo.

“Tunarejea kwenye ligi baada ya mapumziko ya kucheza Kombe la FA, tunaelekea kucheza na Mtibwa Sugar katika mchezo mgumu wa ugenini ambao ni wazi tunahitaji kupata matokeo mazuri kwa hali yoyote ili kuendelea kubakia juu kuongoza ligi, kwa matarajio yetu msimu huu ni ubingwa ila presha ya ushindani imekuwa juu kutokana na wapinzani wetu kujipanga vizuri.

“Kila mchezaji kwa sasa anajua jukumu lake kuelekea kwenye mchezo huu mkubwa ambao matokeo kwetu ni jambo

la lazima, ukiangalia safu ya ushambuliaji tumekuwa na maongezi ya mara kwa mara kuhakikisha tunafikia

malengo ya kushinda katika kila mchezo, ingawa siyo kazi nyepesi,” alisema Nabi.

[QUOTE="Amir, post: 994, member: 20"] [HEADING=1]Nabi Ampa Mayele Kazi Maalum[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/yangasc_272929964_899875410699999_6070729047343910339_n.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ametoa majukumu mazito kwa wachezaji wa timu hiyo, akiwemo kinara wa mabao, Fiston Mayele kwa kuhakikisha wanatupia mabao ya kutosha katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar kwa lengo la kuendelea kuongoza ligi. Nabi ametoa kauli hiyo baada ya kurejea kwa ligi kufuatia kumaliza mechi za Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) huku wakiwa na kumbukumbu za matokeo ya suluhu katika mchezo wa mwisho dhidi ya Mbeya City kabla ya ligi kusimama kupisha Shirikisho. Yanga inaongoza ligi ikiwa na pointi 36 baada ya kucheza mechi 14, ikishinda 11 huku ikiwa imetoka sare tatu. Ni timu pekee ambayo haijapoteza mechi hadi sasa kwenye ligi huku ikitarajiwa kuivaa Mtibwa Sugar Jumatano ijayo, Manungu. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/01/YANGA-9-1.jpg[/IMG] Akizungumza na Championi Ijumaa, Nabi alisema kuwa wanarejea kwenye ligi wakiwa na lengo moja la kuhakikisha wanapata matokeo ya ushindi katika mchezo wao ujao dhidi ya Mtibwa ili kuendelea kuongoza ligi hiyo, hivyo amewataka kupambania matokeo ya uhakika katika mchezo huo. “Tunarejea kwenye ligi baada ya mapumziko ya kucheza Kombe la FA, tunaelekea kucheza na Mtibwa Sugar katika mchezo mgumu wa ugenini ambao ni wazi tunahitaji kupata matokeo mazuri kwa hali yoyote ili kuendelea kubakia juu kuongoza ligi, kwa matarajio yetu msimu huu ni ubingwa ila presha ya ushindani imekuwa juu kutokana na wapinzani wetu kujipanga vizuri. “Kila mchezaji kwa sasa anajua jukumu lake kuelekea kwenye mchezo huu mkubwa ambao matokeo kwetu ni jambo la lazima, ukiangalia safu ya ushambuliaji tumekuwa na maongezi ya mara kwa mara kuhakikisha tunafikia malengo ya kushinda katika kila mchezo, ingawa siyo kazi nyepesi,” alisema Nabi. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Thread
Top
Bottom