Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga vs Ihefu 1-0 Kilichojiri kwa mkapa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana.

Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu viongozi wajaribu kuangalia namna kocha anahangaika kupata matokeo ambayo yangepatikana kwa baadhi ya wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi mwoneeni huruma kocha.

Ushindi wa Yanga Jana chanzo kikubwa alikuwa mtu pekee au uwezo wa Mudathiri kiungo mkabaji aliweza kupokonya mipira na kuiachia kwa haraka kitu ambacho kiliifanya Yanga ikae mda mwingi na mpira na isishambuliwe Sana

Liko wazi kila mtu aliona hili. Hata isingefanyika sub Jana Yanga bado alikuwa na uwezo wa kushinda sababu moja wapo ni kuwa IHefu walimruhusu Sana Mayele achukue mipira ageuke apige

Na Mayele Ni Mfungaji anaweza kukukosa Tisa akakufunga moja so kwa mtu Kama Mayele kumuacha apige mashuti langoni kwako jua tu atakufunga kwa Hali yoyote na goli la Aina yoyote ile.

Yanga wanahitaji winga inatakiwa wapate mawinga wawili wenye nguvu achana na Moloko, Kisinda na Morisoni inatakiwa kuachana nao maana ndio udhaifu wao na Imani kocha Nabi analiona hili.

Ihefu tunapongeza pia juhudi zao wakipata kocha anayeweza attacking football watakua hatari kwenye ligi kwa leo well done Yanga imeonekana ya kawaida hawana umakini kwenye attacking haswa eneo la mwisho ukosefu wa "Aziz KI", Mayele anapambana sana na amekuwa mchezaji muhimu sana kwa timu mpakaa sasa.

[ATTACH=full]1043[/ATTACH]

[QUOTE="sharon, post: 2961, member: 470"] Mchezo ulikua mgumu kwa Yanga kwasababu ya ukosefu wa baadhi ya wachezaji muhimu. Kikosi kilikua hakina Azizi KI, Morrison, Bangala, Aucho yani key players hawapo lakini timu inashinda tena inakamiwa na kupata ushindi kwa tabu sana. Wachezaji wasipokuwepo wanampa Nabi mzigo mkubwa hebu viongozi wajaribu kuangalia namna kocha anahangaika kupata matokeo ambayo yangepatikana kwa baadhi ya wachezaji ambao hawapo kwenye kikosi mwoneeni huruma kocha. Ushindi wa Yanga Jana chanzo kikubwa alikuwa mtu pekee au uwezo wa Mudathiri kiungo mkabaji aliweza kupokonya mipira na kuiachia kwa haraka kitu ambacho kiliifanya Yanga ikae mda mwingi na mpira na isishambuliwe Sana Liko wazi kila mtu aliona hili. Hata isingefanyika sub Jana Yanga bado alikuwa na uwezo wa kushinda sababu moja wapo ni kuwa IHefu walimruhusu Sana Mayele achukue mipira ageuke apige Na Mayele Ni Mfungaji anaweza kukukosa Tisa akakufunga moja so kwa mtu Kama Mayele kumuacha apige mashuti langoni kwako jua tu atakufunga kwa Hali yoyote na goli la Aina yoyote ile. Yanga wanahitaji winga inatakiwa wapate mawinga wawili wenye nguvu achana na Moloko, Kisinda na Morisoni inatakiwa kuachana nao maana ndio udhaifu wao na Imani kocha Nabi analiona hili. Ihefu tunapongeza pia juhudi zao wakipata kocha anayeweza attacking football watakua hatari kwenye ligi kwa leo well done Yanga imeonekana ya kawaida hawana umakini kwenye attacking haswa eneo la mwisho ukosefu wa "Aziz KI", Mayele anapambana sana na amekuwa mchezaji muhimu sana kwa timu mpakaa sasa. [ATTACH type="full"]1043[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga vs Ihefu 1-0 Kilichojiri kwa mkapa
Top
Bottom