Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga vs Polisi Tanzania
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga leo wanaenda kuanza Mzunguko wa pili wakiwaalika Polisi Tanzania kwenye uwanja wao wa nyumbani Benjamin Mkapa Dar es Salaam ni mzunguko wa pili Yanga akiwa kinara wa ligi hiyo ya NBC kwa pointi 38, huku Polisi Tanzania wakiwa nafasi ya 16 na pointi kwenye ligi 9

Mzunguko wa kwanza Yanga alipata ushindi wa goli 2-1 katika uwanja wa ugenini wa Polisi Tanzania akiibuka na pointi 3 muhimu, Mechi tano za mwisho Polisi Tanzania alizokutana na Yanga Amekua akichezea kichapo kwenye mechi 4 na kuambulia draw mechi moja tu dhahiri Yanga anezidi kumtawala Polisi kwa kila Idara kila wanapokutana iwe nyunbani iwe ugenini.

Leo tena wawili hawa wanakutana kwa mkapa midaa ya saa 01:00 usiku kuzisaka pointi tatu muhimu Yanga akienda kutetea ubingwa na nafasi yake kama kina wa ligi na Polisi Tanzania kujikwamua matatizoni kutoka katika nafasi za chini na kuzidi kujiweka nafasi za Juu kubaki kwenye ligi nani ataibuka na ushindi leo?

[QUOTE="Brenda, post: 2216, member: 464"] Yanga leo wanaenda kuanza Mzunguko wa pili wakiwaalika Polisi Tanzania kwenye uwanja wao wa nyumbani Benjamin Mkapa Dar es Salaam ni mzunguko wa pili Yanga akiwa kinara wa ligi hiyo ya NBC kwa pointi 38, huku Polisi Tanzania wakiwa nafasi ya 16 na pointi kwenye ligi 9 Mzunguko wa kwanza Yanga alipata ushindi wa goli 2-1 katika uwanja wa ugenini wa Polisi Tanzania akiibuka na pointi 3 muhimu, Mechi tano za mwisho Polisi Tanzania alizokutana na Yanga Amekua akichezea kichapo kwenye mechi 4 na kuambulia draw mechi moja tu dhahiri Yanga anezidi kumtawala Polisi kwa kila Idara kila wanapokutana iwe nyunbani iwe ugenini. Leo tena wawili hawa wanakutana kwa mkapa midaa ya saa 01:00 usiku kuzisaka pointi tatu muhimu Yanga akienda kutetea ubingwa na nafasi yake kama kina wa ligi na Polisi Tanzania kujikwamua matatizoni kutoka katika nafasi za chini na kuzidi kujiweka nafasi za Juu kubaki kwenye ligi nani ataibuka na ushindi leo? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga vs Polisi Tanzania
Top
Bottom