Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga walistahili Alama tatu lakini hata hii mojan kimahesabu ni nzuri pia
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga wamekuwa kwenye form nzuri sana wakicheza kwenye viwanja vya ugenini, japo sio kila mara wanapata matokeo ila uwezo wao wa kumiliki mpira na kucheza kwenye falsafa zao upo pale pale.

Msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Yanga kacheza away mechi 4, Al Hilal, Club Africain, US Monastir na Real Bamako. Zote Walicheza vizuri na kutawala mchezo.

Game ya jana Yanga walipaswa kuondoka na alama zote 3, ila concentration ilipungua dakika za mwisho Wachezaji walikuwa ni kama wameshamaliza mechi kichwani..maana goli lililofungwa ni mazingira ambayo watu hawakuwa kwenye mchezo.

Kuumia kwa Khalid Aucho kulifanya pressing ya Yanga ianze katikati, kwani ilibidi Mudathir ashuke kucheza na Bangala ili Aziz Ki acheze namba 10, ndio maana baada ya Aucho kutoka Real Bamako walianza kuja kwa kasi golini kwetu uwepo wa Mudathir mbele ya viungo wakabaji na nyuma ya Mayele kunaifanya Yanga ianze kukabia juu na kuwapa advantage kwenye umiliki.

Yanga wanarudiana na Real Bamako hapa Dar, nadhani Mwalimu Nabi hataki kingine zaidi ya alama tatu kwenye huo mchezo, kwani inawezekana

[ATTACH=full]1309[/ATTACH]

[QUOTE="Kriss, post: 3470, member: 467"] Yanga wamekuwa kwenye form nzuri sana wakicheza kwenye viwanja vya ugenini, japo sio kila mara wanapata matokeo ila uwezo wao wa kumiliki mpira na kucheza kwenye falsafa zao upo pale pale. Msimu huu kwenye michuano ya kimataifa Yanga kacheza away mechi 4, Al Hilal, Club Africain, US Monastir na Real Bamako. Zote Walicheza vizuri na kutawala mchezo. Game ya jana Yanga walipaswa kuondoka na alama zote 3, ila concentration ilipungua dakika za mwisho Wachezaji walikuwa ni kama wameshamaliza mechi kichwani..maana goli lililofungwa ni mazingira ambayo watu hawakuwa kwenye mchezo. Kuumia kwa Khalid Aucho kulifanya pressing ya Yanga ianze katikati, kwani ilibidi Mudathir ashuke kucheza na Bangala ili Aziz Ki acheze namba 10, ndio maana baada ya Aucho kutoka Real Bamako walianza kuja kwa kasi golini kwetu uwepo wa Mudathir mbele ya viungo wakabaji na nyuma ya Mayele kunaifanya Yanga ianze kukabia juu na kuwapa advantage kwenye umiliki. Yanga wanarudiana na Real Bamako hapa Dar, nadhani Mwalimu Nabi hataki kingine zaidi ya alama tatu kwenye huo mchezo, kwani inawezekana [ATTACH type="full"]1309[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga walistahili Alama tatu lakini hata hii mojan kimahesabu ni nzuri pia
Top
Bottom