Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana.
Game ya Jana Yanga alizidiwa eneo la katikati na Kocha Nabi aliliona hili japo halikuzuia wao kupata ushindi Kama Bamako wangekuwa watulivu mbele wangepata magoli Ila haikuwa bahati Yao.
Mabeki wa Bamako walileta uzembe kwenye magoli mawili yote huwezi kucheza hovyo mbele ya Mayele akakuchekea so Yanga waliyatumia makosa ya Bamako kuwaadhibu
Shida ya Yanga iko pale pale washambuliaji wake wa pembeni bado sio msaada sana hasa team ikiwa inashambuliwa kuja kuwasaidia fullback
Lakini pia hata kwenye ushambuliaji nadhani Nabi analijua hili .
Yanga ameshinda Ila kiwango Cha kawaida sio Kama alichotuonyesha kwa Mazembe tulitegemea huyu kibonde atanyanyaswa sana hapa home all in all Yanga amevuna point tatu muhimu kwake.