Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana.

Game ya Jana Yanga alizidiwa eneo la katikati na Kocha Nabi aliliona hili japo halikuzuia wao kupata ushindi Kama Bamako wangekuwa watulivu mbele wangepata magoli Ila haikuwa bahati Yao.

Mabeki wa Bamako walileta uzembe kwenye magoli mawili yote huwezi kucheza hovyo mbele ya Mayele akakuchekea so Yanga waliyatumia makosa ya Bamako kuwaadhibu

Shida ya Yanga iko pale pale washambuliaji wake wa pembeni bado sio msaada sana hasa team ikiwa inashambuliwa kuja kuwasaidia fullback

Lakini pia hata kwenye ushambuliaji nadhani Nabi analijua hili .

Yanga ameshinda Ila kiwango Cha kawaida sio Kama alichotuonyesha kwa Mazembe tulitegemea huyu kibonde atanyanyaswa sana hapa home all in all Yanga amevuna point tatu muhimu kwake.

[ATTACH=full]1397[/ATTACH]

[QUOTE="Nabi, post: 3634, member: 473"] Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana. Game ya Jana Yanga alizidiwa eneo la katikati na Kocha Nabi aliliona hili japo halikuzuia wao kupata ushindi Kama Bamako wangekuwa watulivu mbele wangepata magoli Ila haikuwa bahati Yao. Mabeki wa Bamako walileta uzembe kwenye magoli mawili yote huwezi kucheza hovyo mbele ya Mayele akakuchekea so Yanga waliyatumia makosa ya Bamako kuwaadhibu Shida ya Yanga iko pale pale washambuliaji wake wa pembeni bado sio msaada sana hasa team ikiwa inashambuliwa kuja kuwasaidia fullback Lakini pia hata kwenye ushambuliaji nadhani Nabi analijua hili . Yanga ameshinda Ila kiwango Cha kawaida sio Kama alichotuonyesha kwa Mazembe tulitegemea huyu kibonde atanyanyaswa sana hapa home all in all Yanga amevuna point tatu muhimu kwake. [ATTACH type="full"]1397[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Yanga wamefanikiwa kuzipata point tatu muhimu mpira ulikuwa mzuri team zote mbili zilicheza kwa tahadhari sana
Top
Bottom