Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser
.
Message
<blockquote data-quote="Kijiweni" data-source="post: 6691" data-attributes="member: 476"><p>Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre-season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia.</p><p></p><p>Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya?</p></blockquote><p></p>
[QUOTE="Kijiweni, post: 6691, member: 476"] Hadi sasa timu ya Yanga imeanza mazoezi ya pre-season, katika usajili wa msimu huu naona Yanga imeingia katika mtego ambao uliukuta Simba, wa kujaza wachezaji wa nafasi moja kwa idadi kubwa huku kuna maeneo hayana mbadala. Simba walikuwa wanawajaza mawinga kibao jambo naliona kwa Yanga kujaza viungo washambuliaji kibao, msimu uliopita walikuwa na viungo washambuliaji wa kutosha huku upande wa kiungo mkabaji wenye viwango akiwa ni Aucho jambo ambalo lilileta taharuki baada ya Aucho kuumia mechi ya klabu bingwa dhidi ya Mamelodi simanzi zilitawala juu ya ni nani atalichukua dimba la Aucho kikamiliifu, ndipo akaonekana mwamba Mkude kulitendea haki kwa mechi dhidi ya Mamelodi. Huyu Mkude sielewi hatima yake ipoje ndani ya kikosi cha Yanga msimu huu. Lakini hata kama bado anasalia jangwani bado kuna umuhimu wa kuletwa mtu atakayekuwa mbadala wa Aucho. Aucho anaweza kuumia, kupata adhabu au kuchoka kutokana na kutumika sana hivyo ni muhimu upande wake kuwa na mbadala uliokuwa na kiwango kikubwa pia. Kwa anayejua, je Yanga mpaka sasa itakuwa na viungo wakabaji wangapi kuelekea msimu huu mpya? [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji
Top
Bottom