Yanga wanaendeleza kile walichikianzisha

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Wameichapa Polisi Tanzania mabao matatu kwa sifurii kwenye uwanja wao wa nyumbani

Mayele anazidi kuongeza kapu la magoli leo tena ameingia nyavuni likiwa ni bao lake la 11 tangu ligi ianzee, Mayele ameonekana akionesha ishara yakumpigia Phir simu kumtaarifu kapu linaongezwa kila mechi, ni goli zuri sana kutoka kwa kinara huyu wa mabao Asisst ikitoka kwa Aziz KI na kuzama nyavuni.

Goli la kwanza likifungwa na Moloko ni goli taiti angel ile Moloko anastahili pongezi. Super sub Clement Mzize anapiga goli lake la pili kwenye ligi kuu msimu huu, ukiwa ni mpira wa kwanza kugusa baada ya kuingia dimbani akichukua nafasi ya Fiston Mayele. "One touch one goli" Aziz KI anazidi kumfinya mwizi kimya kimya First touch into the net 🔥🔥 wananchi wanaenjoy pira sambusa pira biriani..😜

Yanga ndio vinara wa ligi kwa pointi 41 akiamuacha mpinzani wake anaemfata sasa pointi 5 mpaka sasa kwenye ligi wamepoteza mechi moja tu dhidi ya Ihefu, na hivi ndivo walivoanza mzunguko wa pili

Yanga 3-0 Polisi Tanzania
 
Last edited: