Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga wanaendeleza kile walichikianzisha
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Wameichapa Polisi Tanzania mabao matatu kwa sifurii kwenye uwanja wao wa nyumbani

Mayele anazidi kuongeza kapu la magoli leo tena ameingia nyavuni likiwa ni bao lake la 11 tangu ligi ianzee, Mayele ameonekana akionesha ishara yakumpigia Phir simu kumtaarifu kapu linaongezwa kila mechi, ni goli zuri sana kutoka kwa kinara huyu wa mabao Asisst ikitoka kwa Aziz KI na kuzama nyavuni.

Goli la kwanza likifungwa na Moloko ni goli taiti angel ile Moloko anastahili pongezi. Super sub Clement Mzize anapiga goli lake la pili kwenye ligi kuu msimu huu, ukiwa ni mpira wa kwanza kugusa baada ya kuingia dimbani akichukua nafasi ya Fiston Mayele. "One touch one goli" Aziz KI anazidi kumfinya mwizi kimya kimya First touch into the net  wananchi wanaenjoy pira sambusa pira biriani..

Yanga ndio vinara wa ligi kwa pointi 41 akiamuacha mpinzani wake anaemfata sasa pointi 5 mpaka sasa kwenye ligi wamepoteza mechi moja tu dhidi ya Ihefu, na hivi ndivo walivoanza mzunguko wa pili

Yanga 3-0 Polisi Tanzania

[QUOTE="Brenda, post: 2221, member: 464"] Wameichapa Polisi Tanzania mabao matatu kwa sifurii kwenye uwanja wao wa nyumbani Mayele anazidi kuongeza kapu la magoli leo tena ameingia nyavuni likiwa ni bao lake la 11 tangu ligi ianzee, Mayele ameonekana akionesha ishara yakumpigia Phir simu kumtaarifu kapu linaongezwa kila mechi, ni goli zuri sana kutoka kwa kinara huyu wa mabao Asisst ikitoka kwa Aziz KI na kuzama nyavuni. Goli la kwanza likifungwa na Moloko ni goli taiti angel ile Moloko anastahili pongezi. Super sub Clement Mzize anapiga goli lake la pili kwenye ligi kuu msimu huu, ukiwa ni mpira wa kwanza kugusa baada ya kuingia dimbani akichukua nafasi ya Fiston Mayele. "One touch one goli" Aziz KI anazidi kumfinya mwizi kimya kimya First touch into the net 🔥🔥 wananchi wanaenjoy pira sambusa pira biriani..😜 Yanga ndio vinara wa ligi kwa pointi 41 akiamuacha mpinzani wake anaemfata sasa pointi 5 mpaka sasa kwenye ligi wamepoteza mechi moja tu dhidi ya Ihefu, na hivi ndivo walivoanza mzunguko wa pili Yanga 3-0 Polisi Tanzania [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga wanaendeleza kile walichikianzisha
Top
Bottom