Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga wanasonga mbele Mapinduzi Cup
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kulingana na kikosi kilivyo jana sikuwa na matarajio makubwa sana, ukiangalia kwa makini wachezaji hawana maelewao kingine ni kama wameambiwa nendeni mkaoneshe uwezo wenu.

Ambundo KABAHATISHA tu hayafuti makosa yake ,Hata kama kafunga Ambundo bado kazingua

Jana kwa dakika chache nadhani sote tumeona quality ya Mudathir Baada ya kuingia Mudathir na Yacouba game ikabadilika kiasi chake, sidhani kama kuna watu Wana doubt na Mudathiri Yahaya

Yacouba karudi vizuri sana anaonekana akirudi kikosini hivi karibuni

Kambole hakuwa na games nyingi ni mapema sana kumuongelea au kumkosoa bado ana kitu chakutupa Yanga

Kwa upande wa David Bryson Kajitahidi sana. Anahitaji game zaidi atakuwa msaada sana kwenye timu

Beki namba 3 (Mwamnyeto) amejitahidi sana na ndiye amepiga hii faulu ya kifundi iliyozaa goli la ushindi kwa Yanga

Hatimaye Johora ana Cleansheet

KMKM wamebana weee mwisho wameachia KMKM 0-1 Yanga

[ATTACH=full]1010[/ATTACH]

[QUOTE="Kriss, post: 2780, member: 467"] Kulingana na kikosi kilivyo jana sikuwa na matarajio makubwa sana, ukiangalia kwa makini wachezaji hawana maelewao kingine ni kama wameambiwa nendeni mkaoneshe uwezo wenu. Ambundo KABAHATISHA tu hayafuti makosa yake 😂,Hata kama kafunga Ambundo bado kazingua Jana kwa dakika chache nadhani sote tumeona quality ya Mudathir Baada ya kuingia Mudathir na Yacouba game ikabadilika kiasi chake, sidhani kama kuna watu Wana doubt na Mudathiri Yahaya Yacouba karudi vizuri sana anaonekana akirudi kikosini hivi karibuni Kambole hakuwa na games nyingi ni mapema sana kumuongelea au kumkosoa bado ana kitu chakutupa Yanga Kwa upande wa David Bryson Kajitahidi sana. Anahitaji game zaidi atakuwa msaada sana kwenye timu Beki namba 3 (Mwamnyeto) amejitahidi sana na ndiye amepiga hii faulu ya kifundi iliyozaa goli la ushindi kwa Yanga Hatimaye Johora ana Cleansheet😂 KMKM wamebana weee mwisho wameachia KMKM 0-1 Yanga [ATTACH type="full"]1010[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Yanga wanasonga mbele Mapinduzi Cup
Top
Bottom