Yupi mwamuzi wako Bora Msimu uliopita?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Kwenye Msimu ulio malizika kuna waamuzi wengi wazuri walichezesha mechi nyingi Akina Ramadhan Kayoko , Tatu Malogo Heri Sasii na wengine ila bila shaka utakubaliana na mimi Jina la Ahmed Arajiga ni Jina la Mwamuzi wa Kati ambae ameziamua mechi nyingi kubwa kwa weledi Mkubwa sana.
Amechezesha Mechi za Simba na Yanga zote Mbili ya Nyumbani na Ugenini Mechi ya Yanga na Azam Fc Simba na Azam Fc na nyengine nyingi kwa Weledi mkubwa sana.

Frank Kombe Mwamuzi pekee wa Tanzania aliye teuliwa na CAF kuchezesha AFCON 2022 Pale Misri huyu ni mwamuzi wa Pembeni namba moja (Assistant No.1) huu ni Msimu wake wa 3 anakua bora sana moja ya waamuzi ambao Tanzania tunajivunia kua ni Bora basi ni Frank Komba.

Mohammed Mkono Msaidizi namba 3 ama mtaani tumezoea kuita akibendera pia moja ya waamuzi wakongwe wataalam kabisa kwa msimu mfululizo kwenye Mechi zote kubwa basi kumkosa ni hadimu sana.

Kwangu hii Set ya Waamuzi hawa watatu ndio Set yangu bora ya Msimu wa 2023/204.
 

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
  • Admin huyo Frank kombe achana nae kabisa VAR haikamati hapo anaona mpaka anaboa washambuliaji wa timu pinzani kwake hauzidi hata Rasta 😂😂🙌🙌🙌
 

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
  • Admin huyo Frank kombe achana nae kabisa VAR haikamati hapo anaona mpaka anaboa washambuliaji wa timu pinzani kwake hauzidi hata Rasta 😂😂 lakini arajiga Ni anauvumilivu saana na huu mchezo🙌🙌🙌
 

Attachments

  • 1717861655737.gif
    1717861655737.gif
    42 bytes · Somwa: 2