FT : Yanga SC 2 Singida BS 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
711
125
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Singida BS umemalizika kwa Wananchi kuondoka na alama 3 muhimu katika uwanja wa KMC Complex na magoli 2 Kwa 1

WAFUNGAJI

⚽ Mzize
⚽ Dube
⚽ Sowah

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 
NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
33
11
5
Singida na yanga wanaalibu mpira sikuona Radha ya soka kwakuwa yanga na singida wamecheza mechi ya kuonyesha kuwa Kuna namna wanahitaji kiinuwa yanga singida wangeweka wachezaji tunao wajuwa ligi inaakukosa dhamani ushindani unapunguwa apo ndipo najuwa kwanini simba sc walikataa kuzaminiwa na gsm
 
  • Like
Reactions: Emma ngusa

Hashimu

Mpiga Chabo
Feb 17, 2025
1
0
0
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Singida BS umemalizika kwa Wananchi kuondoka na alama 3 muhimu katika uwanja wa KMC Complex na magoli 2 Kwa 1

WAFUNGAJI

⚽ Mzize
⚽ Dube
⚽ Sowah

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Kreenshit mwiko Kwa uyo golikiper wa nyumban mwiko 😅😅
 
Rama kanda

Mgeni
Feb 14, 2025
3
2
5
Singida wameweka wachezaji nje ili kk zao washinde kipind cha pili wamewaingiza wazee wakaanza kutoa maboko. Ila tusajua gsm wote mutawafunga ila azam, tabora na simba ndy mwisho wenu
 
Tony smart boy

Mpiga Chabo
Feb 17, 2025
1
0
0
Singida na yanga wanaalibu mpira sikuona Radha ya soka kwakuwa yanga na singida wamecheza mechi ya kuonyesha kuwa Kuna namna wanahitaji kiinuwa yanga singida wangeweka wachezaji tunao wajuwa ligi inaakukosa dhamani ushindani unapunguwa apo ndipo najuwa kwanini simba sc walikataa kuzaminiwa na gsm
Sio dhamani ni thamani