Unatamani Simba Apangwe Na Nani Leo Robo Fainali Kombe La Shirikisho Afrika?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
545
711
125
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) litafanya droo rasmi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF TotalEnergies 2024/25 na Kombe la Shirikisho la CAF TotalEnergies jijini Doha, Qatar leo Alhamisi tarehe 20 Februari.

Droo hiyo itafanyika katika studio za kisasa za beIN SPORTS na itaonyeshwa moja kwa moja kupitia chaneli rasmi ya YouTube ya CAF, CAF TV. Wachezaji wanne wa zamani wa Afrika watashiriki kama wasaidizi wa droo: Wael Gomaa (Misri), Rabah Madjer (Algeria), Rainford Kalaba (Zambia) na Ben Malango (DR Congo).

Kwa Tanzania inawakilishwa na Simba SC katika kombe la Shirikisho Afrika ambapo anaweza kukutana na Timu kati ya AL MASRY ya MISRI , ASEC MIMOSAS ya Ivory Coast au Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Unatamani Simba apangwe na Nani Leo?
 
  • Like
Reactions: Aman wamar

deesigner yenha

Mpiga Chabo
Feb 20, 2025
4
0

Lolote liwakute😜
 
Charles mkomwa

Mpiga Chabo
Feb 20, 2025
2

Stellenbosch
 
Hassani juma 439

Mpiga Chabo
Feb 7, 2025
29
0
0
Screenshot_20250220-133829.pngmkeka wa Leo upo tayal njooo uchukuwe mkeka kwa Bei ya kitonga tu Leo baada ya kutoa elf tano ya kutanguliza utatoa elf tatu tu baada ya ushindi unamalizia yote mkeka wa uwakika kushinda wah wah uje uchukuwe mkeka WhatsApp number 0750631452 wass
 
Hassani juma 439

Mpiga Chabo
Feb 7, 2025
29
0
0
Mkeka wa Leo upo tayal malipo baada ya ushindi uwaminifu to ndio nahitaji kwangu piya Nina group langu la mikeka ya uwakika ukisha kuwa mteja wangu takuunga kwenye group langu la mikeka njooo uchukuwe mkeka wa uwakika malipo baada ya ushindi uwaminifu to ndio nahita kwangu WhatsApp number 0682190226