Ukiangalia buildup ya hili goli utagundua Bruno Fernandes ni playmaker hatari sana Erik Ten Hag anatafuta mshambuliaji tu kwa sasa timu itafunga magoli mengi sana
Halafu huyu kocha wa timu ya Taifa alikuwa anamuweka benchi mechi karibia zote za kombe za dunia.England wakiachana na Southgate wanaweza kuchukua Euro kwa sababu wana kizazi cha vipaji ila hawajapata kocha wa kuwafanya kuwa hatari zaidi.