Kulingana na kikosi kilivyo jana sikuwa na matarajio makubwa sana, ukiangalia kwa makini wachezaji hawana maelewao kingine ni kama wameambiwa nendeni mkaoneshe uwezo wenu.
Ambundo KABAHATISHA tu hayafuti makosa yake
,Hata kama kafunga Ambundo bado kazingua
Jana kwa dakika chache nadhani sote tumeona quality ya Mudathir Baada ya kuingia Mudathir na Yacouba game ikabadilika kiasi chake, sidhani kama kuna watu Wana doubt na Mudathiri Yahaya
Yacouba karudi vizuri sana anaonekana akirudi kikosini hivi karibuni
Kambole hakuwa na games nyingi ni mapema sana kumuongelea au kumkosoa bado ana kitu chakutupa Yanga
Kwa upande wa David Bryson Kajitahidi sana. Anahitaji game zaidi atakuwa msaada sana kwenye timu
Beki namba 3 (Mwamnyeto) amejitahidi sana na ndiye amepiga hii faulu ya kifundi iliyozaa goli la ushindi kwa Yanga
Hatimaye Johora ana Cleansheet
KMKM wamebana weee mwisho wameachia KMKM 0-1 Yanga