Mwamba Martinz leo kwenye siku yake yakuzaliwa kaomba kuanza Leo kwenye kikosi Cha kwanza maana ni siku special kwake
Ikumbekwe ETH alimuambia Butcher kuwa ligi inaanza asijisaau na kushangilia ubingwa back to the business dogo akavuta kaa week HV 10 alicho fanya akachukua Shaw akaweka center back Yan yeye ana MDA anaamini timu ndio kubwa sio mchezaji, Bonge la kocha.
Leo anaweza mmoja atolewe kafara pale kati katu ya FRED NA CASEMORO wote wana kadi 4 hivo yeyote akipata leo kadi kama atacheza bas game ya Asernal anakosa
Ni bora CASEMIRO apumzike leo weka Fred akila kadi tena sio mbaya sana game ijayo ngumu zaidi.