KAGERA SUGAR vs SIMBA SC Matokeo Yatakuaje?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
564
727
125
Niaje Wana KIJIWENI
Leo si ndo Ligi Kuu ya NBC inaendelea katika viwanja mbalimbali? Mechi kubwa ni KAGERA SUGAR vs SIMBA SC huku AZAM FC vs KMC

Tutabiri Matokeo Ya Mechi Hizi Hapa KIJIWENI Sasa