Aende wake wengine Simba inaitaji maboreshoHahaha na aende tu tunaitaji mabadiliko
waje
Aende waje wengine Simba inaitaji maboresho
sio wakati sahihi kwa ssc kumwachia kanuti wa iko kwenye mchakato mgumu wa wachezaji,Vyanzo kutoka Simba SC vimehakikisha kuwa kiungo Sadio Kanoute ameamua kutoongeza mkataba mpya na yuko mbioni kuondoka. Klabu inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya mwisho kumchukua Augustine Okejepha kutoka Rivers United ya Nigeria ili kuziba pengo lililoachwa na Kanoute.