Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu nyingi zikiendelea na maandalizi yao kwa ajili ya kupambana kwa msimu ujao. Mpaka sasa usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025
Usajili huu unaonesha kwamba ligi yetu imekua Kwa asilimia 85 ni zaid ya miaka nyuma sasa kila timu inasajili kiufundi zaid na Kwa gharama kubwa kutoka kuchukua wachezaji mataifa mengine kuleta ushindani
Picha ya usajili ni nzuri raundi hii SHIRIKISHOlipo TZ ,FA lipo msimbazi,NBC lipo msimbazi, NGAO ipo msimbazi, MAPINDUZI lipo msimbazi, MUUNGANO lipo pale msimbazi na mengine mengi
Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi huku timu nyingi zikiendelea na maandalizi yao kwa ajili ya kupambana kwa msimu ujao. Mpaka sasa usajili unakupa picha gani kwenye msimu mpya 2024\2025