Barcelona wanahitaji kuwauza baadhi ya wachezaji: Busquets, Eric Garcia, jordi alba, Ferran, Sergi Roberto Kuna wachezaji wazuri na wa bei nafuu ambao wanaweza kuchukua nafasi ya wachezaji hawa. Je, hakuna wazuri katika timu B tena?
Nitasema jambo kubwa hapa...hatuwezi tu kuendelea kumlinda...