SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
SWALA LA FEI WENGI WANALIJADILI KWA ANGLE YA KISHABIKI(WAPINZANI) ILA KWA UFUATAJI WA SHERIA, TARATIBU NA KANUNI ZA FIFA DOGO KAZINGUA BIG TIME.

WANASEMAGA KUNGUNI AKINYWA HUNUKA, NDIO YANGA WANAMFANYA HIVYO NA YEYE ANATAPA TAPA (MFA MAJI) 😂 KUOMBA OMBA HURUMA MPAKA MAMA KAINGIZWA KWENYE SAGA.

YES! VISION NZURI ANATAKA AENDE KUTAFUTA MASLAHI MAZURI KWINGINE ILA NAMNA ALIVYOTAKA NDIO BOKO LENYEWE.

SISI KAMA WANACHAMA WAPENZI NA MASHABIKI WA YANGA AFRICANS SC TUZITUPILIE MBALI HIZI DRAMA ZA DOGO, TUFOCUS NA FULL SHANGWE JTANO, USHINDI NI MUHIMU SANA KWETU NA UTAPATIKANA KWA UMOJA WETU KUELEKEA KWENYE MECHI HIYO.

1678167583045.png
 

Zawadi

Mgeni
Nov 4, 2022
41
17
5
Fei Toto anatakiwa ajitafakari kama kwenye yeye ni professional footballer hakupaswa kuwa na hizi drama ukizingatia bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kufika mbali. Kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa, Fei arudi jangwani afuate utaratibu.
 

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Anacho kifanya Feisal kwa Yanga ni uhujumu uchumi kwa club, nani atakubali hilo. Anataka haikoseshe Club club mapato kwa maksudi kabisa, kiongozi gani wa Yanga ataruhusu hilo litokee?
 

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Binafsi mm nimeonaa wazo zuri sanaa kama mshabiki wa simbaa kukaribisha team inayomuhitaji feisal ili mambo yaende sawa na sio kuvunjaaa mkatabaa kihunii
 

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Ujinga mtupu aisee yan mtu ashasema hayupo tayar kucheza tena yanga anaomba mvunje mkataba nyie oooh arejee kambini aendelee na majukumu yake jaman muacheni akecheze anapotaka mbona imekuwa nongwa sasa
 
  • Like
Reactions: Joan

Joan

Mgeni
Dec 13, 2022
24
12
5
Ujinga mtupu aisee yan mtu ashasema hayupo tayar kucheza tena yanga anaomba mvunje mkataba nyie oooh arejee kambini aendelee na majukumu yake jaman muacheni akecheze anapotaka mbona imekuwa nongwa sasa
kwan anachezaaaaa mkataaa mbna kama wew wazee wakoo walipotezaaa ada bureee
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Nimependa Sana hii muvi jinsi yanga wanavyoicheza... Eti nasikia kwenda tff kuomba mkataba uvunjwe, Sasa kwa taarifa zake ajue kuwa tff watamuuliza maswali yafuatayo 1. Yanga wamekiuka masharti yoyote ya mkataba unaotaka kuuvunja? 2. Kama ndio Ni yapi? 3 Kama hawajakiuka unataka tff watumie utaratibu na vigezo gani kuvunja mkataba wako na yanga? Aache ujinga aende clabuni akakae kitako maana nadhani hata nabi hatomtumia Tena.
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Zamani Nilikuwaga Nadhani Ukiachana Na FEISAL Kuwa Mchezaji Wa Yanga Atakuwa Ni Shabiki Mkubwa Sana Wa Yanga Kumbe "NILIKUWA NADHANI TU"