Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
95
95
26
Dar Es Salaam
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.

2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.

3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.

4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani

5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nini?
 
Bizzo

Mpiga Chabo
Aug 12, 2025
1
0

😀😀😀
 
Benbreezy

Mpiga Chabo
Aug 12, 2025
1
0
0
😂😂😂tatizo ni consistency ya mchezaji mwenyew kaka sio kaa mnalogwa Cha msingi ni wachezaji wajitume Tu kila kitu kinawezekana piah kufungwa na mtani ni sehemu ya mchezo tu
 
kingmirrajj@0001

Mpiga Chabo
Aug 12, 2025
1
0
0
Hapo ni mohammed na sowah tu ila pale bado hujapata kipaji cha maema hapo kati bado viungo wanaiva taratibu ... Fadlu anakiandaa kikosi taaratibu tukifikia lengo la nguvu moja ... Mnyama kipimo chetu so yanga kutufunga lakini ni moja ya mechi yakuzingatia mtani so poa huko....simba day angekuja ata mtani tutataniane tu😂😂