1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua, haiwezekani wachezaji waletwe wakiwa wazuri huko kwao wakiingia Tanzania tu hawana uwezo dimbani, hili tatizo litatuliwe.
2. Yule mwarabu wa Kenya aliyefunga bao la kwanza ule muwa alioutandika, sijui itakuwaje, winga yeye winga Mpanzu, hakyamungu Yanga akitufunga safari hii ndani ya uongozi kutakuwa na kidudu mtu sio Bure.
3. Mshambuliaji hatari duniani Jonathan Sowah kwa mabeki wale akina Job, nasema Msimu huu kazi IPO labda wachezaji warogwe na viongozi wachukulie kawaida TU.Sowah mkatili sana.
4.Nimemuona Mpanzu Leo akidambua dambua, dah Simba day lini jamani
5.Kama wametuomba mechi ya kirafiki wajibuni tu tunaogopa nini?