Search results

  1. Young Teflon

    FT : Yanga SC 3 Mashujaa FC 2 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    Yanga akishinda GSM inaamka yanga akifungwa aaah ..! Ushabiki ni kazi kwelikweli. But anyway 🤔 ndio mpira wetu.
  2. Young Teflon

    Umeipokeaje Kauli Hii Ya Rais Wa TFF Kuhusu Kutokutumika Kwa VAR Msimu Huu?

    Matatizo ya waamuzi katika michezo hii michache tu tayari yameanza kutungiwa taarabu. 🤕🤔😒 TFF
  3. Young Teflon

    FT : KenGold 0 Yanga SC 1 | Una Kipi Cha Kuzungumza Mwananchi Wa Kijiweni?

    Akili nzuri na utulivu walio uonesha KEN GOLD they deserve to be respected. What a low block 😔 yeah walijua wanacheza na nani "what a plan" tufungwe ila tusifungwe-fungwe 🤝. Point 3 kwa YANGASC njia bado ni ndefu na ina chaka kubwa la kufyeka, huitaji nguvu tu, ila akili pia. Ila boka afungwe...
  4. Young Teflon

    FT : Yanga SC 6 CBE SA 0 | Umeona Kitu Gani Leo? Unadhani Kuelekea Makundi Klabu Ya Yanga Wanatakiwa Kurekebisha kitu Gani?

    TIMU BORA KABISA. Mechi bora kabisa. What a rotation, 🤔 what a performance, 🔥 I like that aggressive mindset 😉. Uyu chama yaani kama ni under 20 ivi. Miguel gamondi master I salute you. Hawa CBE 🤕 kweli ni mabingwa lakini uko mkoani kwao sio uku CAF (taifa) . Agreed 💯
  5. Young Teflon

    Kitu Gani Kilikufanya Uishabikie Timu Unayoishabikia Hivi Sasa?

    Ukweli mimi nilivutiwa sana na uchezaji wa JUICE COTTON YONDANI ; aloo...! yule jamaa alifanya nikawa mashabiki wa YANGASC ghafla tu, nakumbuka niliwahi shabikia ubingwa wa AZAMSC ata bila kuijua inamilikiwa na nani inatokea wapi.🤣 Anyway Kijani na njano tunaitumia sana kwenye kilimo cha...
  6. Young Teflon

    Kujiondoa Kwa AZAM TV Kwenye Kuonesha Mchezo Wa NGUMI Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?

    PROJECT IMEINGIZA HASARA. End of argument. Hata mpango wa USA-Kwenye mpira wa kikapu in 90s to 20s waliwekeza bilions of dola kuufanya mchezo maarufu duniani (NBA), ila baada ya hasara kubwa wali shut-off chap.
  7. Young Teflon

    FT : CBE SA 0 Yanga SC 1 | Wananchi Wa Kijiweni Mmeuonaje Mchezo Wa Leo? Nani Katisha Zaidi?

    Kabla huja nyoosha kidole kumkejeli kilema kwanza zingatia ulemavu wa akili ulionao. Ukianzia upangaji wa kikosi tu ulionyesha heshima ya game ya away. 4 difenda tena ambao hawakuwa na mikimbio mingi mbele. What a plan. Makosa yalikuwepo ila yasio na athari. This is champion campaign lazima...
  8. Young Teflon

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Inafikirisha sana. Ila bado ninaona tunahaja ya kukubali kwanza hali tuliyo nayo, alafu ndio tuje kutafakari kwakina nini na wapi pakuanzia hasa mkakati wa muda mrefu na ule wa muda mfupi. Kweli nilishangaa kuona leftback wakichezeshwa kama ma winga mmmh...!! Inawezekanaje ligi ya timu 16...
  9. Young Teflon

    Azam FC Yatupwa Nje Na APR Ligi Ya Mabingwa Afrika: Unadhani Kipi Haswa KINAWASUMBUA Matajiri Wa CHAMAZI?

    Kiukweli azam msimu huu wamefanya usajili mzuri 🙏 . Ila sasa katika mahali walipo kosea hasa ni kwenye head coach, kwa mtazamo wangu wakipata mwalimu bora kwahiki kikosi, wanauwezo wa ku compete na kufika mbali. Anyway usingizi mzito uliowavaa viongozi wa azam miaka mingi nyuma bado ni mzito...
  10. Young Teflon

    Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake

    Kama sijakosea aliongezewa kandarasi ya mwaka mmoja . Good to be corrected.
  11. Young Teflon

    Yanga Wamejaza Washambuliaji Wengi Kuliko Wakabaji

    Viungo kiukweli ni wengi 🔥 lakini ninafikiri " namna ya kuwatumia wachezaji hawa inaitaji utulivu mkubwa kwa kocha na benchi lake hasa kuendana na mpinzani husika " Inaweza kuwa hivi .. ! Mfano. => Mkude + Andambwile ✓ => Aucho + Mudathiri ✓ => Aucho pekee, juu awe...
  12. Young Teflon

    TUWAOMBE MSAMAHA QATAR

    Indeed