TUWAOMBE MSAMAHA QATAR

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Watu wa Magharibi walitaka na kulazimisha sana kutuaminisha kwamba Qatar πŸ‡ΆπŸ‡¦ watafeli pakubwa kwenye michuano hii baada ya kukataa tamaduni zao ila Qatar wamekuja kuwaprove wrong. Kwanini wasiombwe msahama Qatar na wapewe pongezi wa kutupa kilicho bora zaidi???
 
ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Watu wa Magharibi walitaka na kulazimisha sana kutuaminisha kwamba Qatar πŸ‡ΆπŸ‡¦ watafeli pakubwa kwenye michuano hii baada ya kukataa tamaduni zao ila Qatar wamekuja kuwaprove wrong. Kwanini wasiombwe msahama Qatar na wapewe pongezi wa kutupa kilicho bora zaidi???
Wazee wa mikakati bana Hawajawahi kuishiw na sera zao za kimagharibi
 
  • Like
Reactions: Balyx_