Hajakosea, kuongea ukweli ni vizuri sana. Na ukweli siku zote unaonyesha njia iliyo sahihi. Uongozi uliopo kama wataliona hili na wakalifanyia kazi basi mabadiliko yatapatikana ndani ya klabu, ila wakipuuza bas tutegemee kuona Simba ikipotea zaidi hapo badae 🚶🚶🚶