Mchezo huu wa Jumamosi kwenye Uwanja wa Carrow Road unazikutanisha Norwich City na Manchester United, timu hizo mbili zenye malengo tofauti kabisa katika msimu wa Ligi Kuu ya 2021/2022.
Lengo kuu la Canaries ni kutaka kisalia katika ligi, wakati Mashetani Wekundu wanatazamia kufuzu kwa Ligi ya...