Search results

  1. R

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Yeye sio wa kwanza kuona ili na sio wa kwanza kulalamika,shida sioni mtu anayetoa solution,wote ni lawama tu,binafsi naona tumeshakosea lkn hatujachelewa, Serikali kupitia TFF wawekeze kwenye academy tuwe na vjana wengi kwenye izo academy, tuwe na makocha wengi waajiriwe kuanzia shule za msingi...
  2. R

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Ule msemo wa tumesajili vijana wao wazee siusikii tena,sasa hivi ni timu yetu haijaungana,tulipomfunga Kaizer nne walisema mbovu,vipi Azam ni mbovu pia, inawezekana timu zenu ni nzuri lkn shida inaanza pale mnapotaka kuzilinganisha na Yanga,tambeni pande zenu na sisi tutambe pande zetu.
  3. R

    FT: Azam 1 Yanga 4 Umeionaje FAINALI Ya NGAO YA JAMII 2024

    Admin natamani atokee mchambuzi mmoja amwambie Feisal ukweli kwamba akiendelea kucheza mpira kutaka kuikomoa yanga atachelewa sana, naona umempost lkn hakuna kitu alichofanya, alikuwa anacheza kama yuko peke yake uwanjan, anacheza kama mtu anayetaka kuwaonyesha wachezaji na mashabiki wa Yanga...
  4. R

    FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

    Mnaosema Simba imecheza vizuri,on target zilikuwa ngapi?au mlikuwa mnacheza mpira usio na malengo,kucheza mmecheza kweli lkn mpira haukuwa wa malengo, mshukuru lenzimeni tu yangekuwa magoli matatu
  5. R

    FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

    Ligi haijaanza marefa wameshaanza ushubwada,magoli ya yanga ya offside ilitakiwa kuwa magoli halali basi tu
  6. R

    Ipi Ni TOP FIVE (5) Yako NBC PL 2024/2025?

    Yanga Azam Black Star KMC Simba
  7. R

    Kuna Haja Ya Club Kuja Na Tuzo Zao,Hizi Za Tff Ni Kichefuchefu

    Nakubaliana na mtoa hoja,Hivi tuweke ushabiki pembeni Zimbwe kaingiaje pale, Mudathir aliyehamua mechi karibu nne za Yanga na ile super performance yuko wapi,kama Zimbwe kaingia basi Lusajo Mwaikenda mwenye assist 7 na goli moja kwa nini asiingie, Tatizo imekalilika kwamba akiwepo mchezaji wa...
  8. R

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba SC

    Wala Kibu sio tapeli bali kafanya kitu ambacho timu izi kubwa hufanya kwa kuiba wachezaji wenye mikataba kwenye timu ndogo alafu kesi zikienda TFF wanaambiwa wamalizane kistaarabu,ushahidi ni Awesu na Valentino,timu zao ziliongea lkn sikuona mijadala kama hii ya Kibu,kama walivyozoea kumalizana...
  9. R

    Darasa La Bure Kwa Wana KIJIWENI Kuhusu Sakata La Kibu

    Hasira ambazo mashabiki na viongozi wa timu za kariakoo mnazionyesha kwa wachezaji wa timu zenu mgekuwa mnazionyesha hasira izo kwa wachezaji wa timu ndogo pale mnapowaiba na kutumia ubabe basi aya yanayotokea kwa Kibu yasingekuwepo,Sikuona mtu anaitetea Geita kwa Valentino, sikuona mtu...
  10. R

    Maajabu ya Chama wa Simba na Chama wa Yanga

    Binafsi sikubaliani na wewe mkuu,ukicheza vzur sifa na heshima itakuwepo, Feisal,Bacca,Job,Mudathir,Zimbwe,Kapombe wa moto heshima yao ipo na wanafukuzwa kama wageni, Shida ni kwamba wachezaji wengi wa hapa nyumbani hawana consistency,alafu tusilazimishe kulinganisha awa wageni kuna mchango...
  11. R

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    Mnaosema tumecheza vibaya chezeni mechi zenu tuwaone vijana, Nawakumbusha yanga iliyocheza leo na kushinda kiungo alikuwa Shekhan
  12. R

    Baada Ya Taarifa Ya Hukumu Na Yale Ambayo Yanaendelea Wana YANGA Msimamo Wenu Ukoje?

    Kesi hii ilifunguliwa kushitaki wadhamini wa Yanga wa uongozi uliopita wa Mshindo Msola,kesi hii sio ya mwaka huu, hukumu ilitolewa mwaka jana lakini kaitoa jana,Kitu kikubwa ni elimu tu kwa awa wazee, maana nimemsikiliza moja wa wazee awa anakubali kuwa Engineer ni Rais wa Yanga na yeye...
  13. R

    Panga Kikosi Chako Unachoanza Nacho Kutokana Na Usajili Wa Timu Yako

    Mwananchi mwenzangu hapa tunafungwa hapa😂😂nyie ndio mashabiki mnaotaka Gamondi afukuzwe huwezi kuweka mastaa wote
  14. R

    Panga Kikosi Chako Unachoanza Nacho Kutokana Na Usajili Wa Timu Yako

    Diarra,Job,Bacca,Yao, Shadrack,Alicho na Nzengeli,Pacome,Chama na Ni Aziz, mbele yao Dube.
  15. R

    Waraka Mzito Wa Hamisi Kigwangalla |"Tunaingilia Kati Tutaunda Kikosi Kazi"

    Mashabiki pekee wenye uamuzi ni wa Yanga tangu iyo miaka tukiona hatuelewi tunakuomdoa kwa nguvu utuachie klabu yetu,Wana simba wanamuona Mo kama Mungu,walipumbazwa na matokeo ya uwanjani wakasahau mchakato, mpira now ni business na brand yenu ni kubwa akisema hata sasa hivi haitaki Simba mtaona...