Kuna Haja Ya Club Kuja Na Tuzo Zao,Hizi Za Tff Ni Kichefuchefu

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano,,,

Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing,,,,✍️
 
  • Like
Reactions: Reddixh

Rweyemamu

Mgeni
Jun 9, 2024
15
4
5
Nakubaliana na mtoa hoja,Hivi tuweke ushabiki pembeni Zimbwe kaingiaje pale, Mudathir aliyehamua mechi karibu nne za Yanga na ile super performance yuko wapi,kama Zimbwe kaingia basi Lusajo Mwaikenda mwenye assist 7 na goli moja kwa nini asiingie, Tatizo imekalilika kwamba akiwepo mchezaji wa Yanga lazima na wa Simba awepo hata kama hakustahili hii yote ni kutaka kubalance.