Search results

  1. S

    Mkeka Wa Leo Jumatano 18/09/2024 Wa Kibingwa

    Hii naona inaeza Ikaw yenyew hii
  2. S

    Mkeka Wa Leo Alhamis 12/09/2024 Wa Magoli Ya Over 1.5

    Hyo hapoel umm al-fahm Vs Nof Hagalil ilichana ilitoa under๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  3. S

    Unakubaliana Kiasi Gani Na Waraka Huu Wa JEMEDARI SAID Kuhusu TAIFA STARS?

    Timu yetu inahitaji maombi ya hali ya juu kabisa๐Ÿฅน๐Ÿฅน
  4. S

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Very good kaka hapa ndo umenena na bado kachukua top score na top assist wa msimu
  5. S

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Ukiniambia vini jr uniambie na mchango wake kwenye timu this season mzee
  6. S

    Kwa Orodha Hii , Nani Anastahili Ushindi Wa Tuzo Ya Ballon d'Or 2024?

    Mtu anaye faa hii tuzo ni Jude belingham 1.mfungaji Bora wa laliga 2.top assist laliga 3.mchezaji Bora laliga 4.kachukua UEFA 5.Kafika fainali EURO 6.kachukua laliga Huyu mwingereza anafaa bwana labda kama Kuna kigezo kingine aisee tukumbuke ya modric Jude akikosa basi kunaupendeleo kabisa.
  7. S

    WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

    Israel mwenda Yuko sawa kabisa maana kama Kuna timu inamuona yeye ni lulu lazima aende akapambane tofauti na huu upande alipo anaonekana Kama wa kawaida ISRAEL Bora aende tu na Yuko sawa kabisa katika hilo by iamsnazygram