Search results

  1. K

    FT: Azam 1 Yanga 4 Umeionaje FAINALI Ya NGAO YA JAMII 2024

    Mecho ilikiwa na hadhi ya fainali Yanga deserved the win Yanga Bingwa Ngao ya Jamii 2024 chama langu never cease to amaze us kama fans makombe yaendelee🔰🔰🔰
  2. K

    Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

    Hii Simba kmmk daaaah 😂 wacha tuone ila bado aisee juzi walikamia tu mechi lakini bado kudadadeki afu kocha taarab nyingi haya bwana wacha ligi ianze tuone wapi shida
  3. K

    FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

    Mechi ya derby ngao ya jamii was amazing sanaaaa ila tu Refa aliharibu mchezo mzima Simba wamecgezewa mechi mwanzo mwisho jana simba alikiwa anakufa 4-1 ila all in all YANGA BINGWA 2024/2025 ni swala la mda tu Gamond atamuonyesha fadlu jambo kwani huwezi kuwa kocha ukose ushindi alafu useme sisi...
  4. K

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    Makolo wanaoponda mechi ya yanga ya leo niwakumbushe tu hii ni pre season lakini ndio tumecheza hivi tarehe nane pale kwa mkapa tutaelewana vizuri
  5. K

    FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

    Jealousy is a disease get well soon guys tarehe nane ndio mtajua vizuri statistics zake bado hamjasema
  6. K

    Je, Baleke Aliihujumu Simba? Wachezaji Wa KiCongo Siyo Waaminifu

    Kitubwanasimba wanasahau ni kuwa huwezi expect mcgezaji akupe good performance ikiwa timu na management zima zinasuasua kocha wamebadilishiwa mara tatu alafu unategemea mchezaji akupe best performance we umeona wapi wasilaumu wachezaji bali walaumu uongozi wa Simba kwani uongozi usipokuwa imara...
  7. K

    FEITOTO Kwenda Simba Inawezekana Au Ni Stori Za Kupunguza Maumivu Ya CHAMA?

    Hizi ni story za alinacha Fei hawezi kwenda Simba ikiwa Azam nao wanajipanga na mashindano ya club bingwa Africa Azam hii hawaezi kubaliana nalo maana Fei toto ni kati ya wachezaji tegemezi pale Lambalamba Fc kumuachia ni ngumu sana yani makolo bado hamjasema na mtasema tu msimu uanze jamani