Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?
 
master 🧠

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
1
0
0
simba uhitaji wanamba kumi kuwa shapu ni muhimu.eneo lakatikati Deborah na okejpa wale walindwe maintenance zaid ni eneo laudhambuliaji.
 
Oops_lady

Mgeni
Aug 8, 2024
6
1
5
Katika ushambuliaje inapata nafasi nyingi sana lakini umaliziaje wake si mzuri kutoka kwa Mukwala na Valentino mashaka ni bora kocha faldu angejaribu kuanza na Freddy Michael pai angejaribu kumaliza mechi nzima akiwa na debora na okojepha hawa wachezaji wanaoneshq kua wanawez kukupa kitu chochote wakati wowote
 
Aug 11, 2024
1
1
5
Kiukweli hii ndio Simba halisi ile ya Yanga ilikuwa simba ya kukamia team kubwa ndiomana uliona walijitutumua kiukweli simba bado sana tusidanganyane wanakosa muunganiko wa kuanzia namba 6 kwenda mbele kwa Mukwala bora liende tu hakuna mipango yyte ndiomana mukwala anaonekana mzurulaji hta uyo straiker mpya ataonekana hafai pia
 
  • Like
Reactions: makory

yusufu

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
2
0
0
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?
Ni mchezo mzuri kwa kweli.
Lakini kutoka na goli moja kila mechi na kuruhusu magoli katika kila mechi utakuta hatuwezi kumaintain nafasi yetu ya kwanza ama ya pili katika msimamo wa ligi ikianza
 
Micha madee

Mgeni
Aug 11, 2024
1
1
5
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?
Simba mbovu bora ilivoenda shirikisho ingeenda club bingwa Inge aibisha taifa
 
  • Like
Reactions: makory

Ayoub patrice

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
1
0
0
Mchezo ulikuwa mzuri sana lakini changamoto ya Simba sc ipo kwenye mshambuliaji naomba kabla ya 15 dilisha la usajiri watafute mshambuliaji wa maana ambae haitaji maswali akiliona gori
 
dclever

Mpiga Chabo
Aug 11, 2024
2
0
0
Klabu ya soka ya Simba wameibuka washindi wa 3 wa NGAO ya Jamii baada ya kuifunga Coastal Union bao 1 Kwa Sifuri lililofungwa na Salehe Karabaka

Umeionaje Simba ya NGAO ya Jamii? Unadhani Wapi Kinatakiwa Kufanyiwa Marekebisho?
Kwakwel simba bado sana mbele washambuliaji hawajakuwa namawasiliano yakutosha....congure kwa gori kipa pia kwa zimbwe jr
 
Kadzo_lass

Mgeni
Jul 1, 2024
8
3
5
Hii Simba kmmk daaaah 😂 wacha tuone ila bado aisee juzi walikamia tu mechi lakini bado kudadadeki afu kocha taarab nyingi haya bwana wacha ligi ianze tuone wapi shida
 
Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
13
6
5
Mtani si anajenga timu bado anakusanyakusanya nondo na tofali,,,,, bado safari za mikoani kwenye viwanja vilojaa tope,,,,mtani mtani may one day atatoboa hata kama ni kutoboa chupa,,,,, mtani mtani endelea kujitafuta